Belinda Mwasu (@lindamwasu) 's Twitter Profile
Belinda Mwasu

@lindamwasu

ID: 715836207272431617

calendar_today01-04-2016 09:40:26

2,2K Tweet

672 Followers

1,1K Following

𝐍.🥀 (@xnemmyy) 's Twitter Profile Photo

Usijikatie tamaa kwenye maisha haijalishi unapitia magumu kiasi gani, life gets better niamini. Kuna muda unaweza ona Giza tu huoni nuru mbele yako wala mwanga Ila isikukatishe tamaa. Jipige kifuani Sema hili nalo nitalishinda. Na hakika utalishinda! Mungu ni wetu sote.

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

You have seen good days before. You have lived great years already. That means you can live them again. Dont quit in a temporary storm, your comeback season is just ahead.

Trixie (@bitilisi) 's Twitter Profile Photo

Kwenye maisha kubali kuna watu hawatakupenda hata ufanye nini, jifunze kuishi maisha yako na epuka sana kutaka kuonekana mwema kwa kila mtu.

K Y 17 🧊💧 (@kvngyomzy17) 's Twitter Profile Photo

From Onana to Lammens From Antony to Mbeumo From Garnacho to Cunha From Hojlund to Sesko From Amorim to Carrick From Suffering to Unlimited enjoyment From 15th to 3rd position What a beautiful time to be alive.

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Nothing is more liberating than having the confidence to solve your own problems, because the moment you trust yourself, you stop waiting to be rescued and start building your own way forward.

MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Usione watu wanacheka muda wote lakini ndani wamebeba Presha za Familia, Bili ambazo hazajilipwa, ndoto kibao ambazo hazijatimia. Najua sio rahisi kupambana kimya kimya ukiwa unatabasamu na moyoni una mzigo, Usikate tamaa kile unachopitia Leo kesho kitakuwa ushuhuda wako🙏💜

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Mungu wangu,nakushukuru kwa zawadi ya siku ya leo. Nakuomba ubariki kazi ya mikono yangu na uniongoze katika kila hatua leo. Neno lako katika Mithali 16:3, nakukabidhi mipango na shughuli zangu zote.Uziimarishe,uzifanikishe, na unipe hekima ya kufanya maamuzi sahihi🙏🏼

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Siku nyingine tunainua sauti zetu mbele zako,Ee Mungu. Tunakuomba utujalie nguvu mpya,bidii ,na moyo usiokata tamaa. Ujaze ndani yetu ujasiri na tumaini litakalowaka kila siku. Ee Mungu wa neema,ushuke juu yetu kwa kibali chako,ubariki juhudi zetu na uongoze hatua zetu. Amina🙏

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

MR BEN Kulinganisha bei ya bidhaa kama mafuta (petroli/dizeli/mafuta ya taa) kati ya nchi iliyoendelea na nchi inayokua bila kuangalia uwezo wa kununua (Purchasing Power) ni kujaribu kupotosha ukweli halisi wa hali ya maisha. Tofauti ya Kipato cha Wastani (GDP per Capita) ndiyo kigezo

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Katika siku hii takatifu ya Pasaka, tafadhali pokeeni baraka tele kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Pasaka ni sikukuu muhimu sana katika imani yetu ya Kikristo, ni siku iliyotimiza kusudi la kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Ni siku ya ushindi mkubwa dhidi ya mauti na dhambi. Ukiielewa kwa