Kigogo Media(@kigogo2014) 's Twitter Profileg
Kigogo Media

@kigogo2014

Official X handle of Kigogo Media I The uncensored,unfiltered and unbiased online news in East Africa I Email: [email protected]

ID:2430656918

linkhttp://kigogomedia.com calendar_today06-04-2014 15:54:26

213,5K Tweets

1,3M Followers

900 Following

jaguar ๐Ÿ˜บ(@Jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa asilimia 124 ikilinganishwa na utoshelevu wa asilimia 114 mwaka 2022/2023. Alisema waziri wa kilimo bashe Leo bungeni.๐Ÿ˜‚

Yani Tanzania inaangiza mchele kutoka india, Thailand na Pakistan.
Huyu waziri anapata wapi ujasir wa kuwaogopea wtz

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa asilimia 124 ikilinganishwa na utoshelevu wa asilimia 114 mwaka 2022/2023. Alisema waziri wa kilimo bashe Leo bungeni.๐Ÿ˜‚ Yani Tanzania inaangiza mchele kutoka india, Thailand na Pakistan. Huyu waziri anapata wapi ujasir wa kuwaogopea wtz
account_circle
Dr. Hamisi Kigwangalla(@HKigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Leo nikiwa njiani kuelekea Dodoma nikakutana na Mwenge wa Uhuru, pale maeneo ya Visiga Madafu. Tukaamrishwa kusimama. Nikaamua kushuka na coffee mug yangu kutafuta mgahawa ninunue kahawa.

Nilipoangaza nikaona mama ntilie pale jirani. Kwenda kuuliza hana kahawa. Bwana mmoja

account_circle
Kenyans.co.ke(@Kenyans) 's Twitter Profile Photo

US Foreign Affairs Committee Chairman requests Speaker of the House Mike Johnson to invite President Ruto to address Congress

US Foreign Affairs Committee Chairman requests Speaker of the House Mike Johnson to invite President Ruto to address Congress
account_circle