MBWAMBO (@iramu_hetu) 's Twitter Profile
MBWAMBO

@iramu_hetu

first born🔥

ID: 1391011790138617857

calendar_today08-05-2021 12:47:36

468 Tweet

276 Followers

509 Following

Pastor David Azael Mmbaga (@azaelmmbaga) 's Twitter Profile Photo

“ MAOMBI NI NJIA PEKEE YA KUUNGANISHA MBINGU NA DUNIA ILI KULETA MATOKEO MEMA,OMBA KWA USAHIHI,BILA NIA OVU ,(YAANI KIBURI,DHARAU NA KUJIONESHA KUWA BORA KULIKO WENGINE). AMINI MUNGU ANAKUPENDA (agape- upendo usio na masharti),AMINI ATAKUPA KILICHO SAHIHI,WEWE NI MTOTO WAKE”

Sally Brown🌷 (@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

Wakuu nataka nichukue mkopo kutoka Soft Finance alafu nianze kufuga kuku wa biashara pamoja na kuuza mayai,nawakaribisha sanaa lakini niwakumbushe ya kuwa #MpangoPesa ni #softFinancetz pekee Amua leo kutengeneza kesho yako iliyo bora.

Wakuu nataka nichukue mkopo kutoka <a href="/softfinancetz/">Soft Finance</a> alafu nianze kufuga kuku wa biashara pamoja na kuuza mayai,nawakaribisha sanaa lakini niwakumbushe ya kuwa #MpangoPesa ni #softFinancetz pekee 

Amua leo kutengeneza kesho yako iliyo bora.
abymzigua (@abyasmzigua) 's Twitter Profile Photo

— Huyu hapa, kijana ambaye aliitetemesha dunia kwa kuivua nguo mifumo ya CIA, akiwa na miaka 15 tu! — Nyaraka zote ambazo wao waliamini ni za siri na hakuna wa kuweza kuzifikia, kijana alizifunua na kuzigeuza atakavyo. — Jina lake ni KANE GAMBLE (Tamka: Ken Gembo)... Na huu ni

— Huyu hapa, kijana ambaye aliitetemesha dunia kwa kuivua nguo mifumo ya CIA, akiwa na miaka 15 tu!

— Nyaraka zote ambazo wao waliamini ni za siri na hakuna wa kuweza kuzifikia, kijana alizifunua na kuzigeuza atakavyo.

— Jina lake ni KANE GAMBLE (Tamka: Ken Gembo)...

Na huu ni
calleb cyprian (@calleb_25) 's Twitter Profile Photo

KUKU WA KISASA 1.Maandalizi ya banda ✅️ ujenzi wa banda (urefu 5m × upana 3m, paa la bati) 💵 Gharama 300k-500k ✅️ vifaa vya kuzalishia na kunyweshea maji(feeders & drinker) *Feeders 5 × 10k= 50k *drinkers 5×10k=50k ✅️Taa za joto 50k

KUKU WA KISASA
1.Maandalizi ya banda 
✅️ ujenzi wa banda (urefu 5m × upana 3m, paa la bati)
💵 Gharama 300k-500k 
✅️ vifaa vya kuzalishia na kunyweshea maji(feeders &amp; drinker)
*Feeders 5 × 10k= 50k
*drinkers 5×10k=50k
✅️Taa za joto 50k
Joel Nanauka (@jnanauka) 's Twitter Profile Photo

Siku moja nilikuwa namsimulia Mentor wangu kuhusu CHANGAMOTO KUBWA nilizokuwa napitia, Moyoni mwangu nilitarajia ANIONEE HURUMA au anipe MSAADA wa haraka niliokuwa NAHITAJI. Nilipomaliza kuongea, alianza kuongea kwa kutumia nukuu ya Wilson Kanadi akasema, “Joel, kumbuka hili:

Siku moja nilikuwa namsimulia Mentor wangu kuhusu CHANGAMOTO KUBWA nilizokuwa napitia, 

Moyoni mwangu nilitarajia ANIONEE HURUMA au anipe MSAADA wa haraka niliokuwa NAHITAJI.

Nilipomaliza kuongea, alianza kuongea kwa kutumia nukuu ya Wilson Kanadi akasema, “Joel, kumbuka hili:
Joel Nanauka (@jnanauka) 's Twitter Profile Photo

Kuna wakati utalazimika kuwa KIMYA. Ndio, kuna wakati utalazimika KUPOTEA na KUTOONEKANA kama ulivyozoeleka. Moja ni pale ambapo unahitaji muda wa KUPONA. Pengine umeumizwa KIHISIA, au umeumizwa kwenye eneo la PESA; unahitaji kupata utulivu wa peke yako kujipanga UPYA. Wakati

Kuna wakati utalazimika kuwa KIMYA. Ndio, kuna wakati utalazimika KUPOTEA na KUTOONEKANA kama ulivyozoeleka.

Moja ni pale ambapo unahitaji muda wa KUPONA. Pengine umeumizwa KIHISIA, au umeumizwa kwenye eneo la PESA; unahitaji kupata utulivu wa peke yako kujipanga UPYA.

Wakati
Joel Nanauka (@jnanauka) 's Twitter Profile Photo

Kwa ndoto yoyote uliyonayo kwenye maisha yako, kuna watu HAWATAKUELEWA kabisa. Na wote ambao hawakuelewi huwa wana SABABU ZAO. Wapo ambao HAWAAMINI katika uwezo. Yaani, wakiangalia unachotaka na wakipima uwezo wako wanaona HAIWEZEKANI. Hawa wameshau historia ya vita ya

Kwa ndoto yoyote uliyonayo kwenye maisha yako, kuna watu HAWATAKUELEWA kabisa. 

Na wote ambao hawakuelewi huwa wana SABABU ZAO.

Wapo ambao HAWAAMINI katika uwezo. 

Yaani, wakiangalia unachotaka na wakipima uwezo wako wanaona HAIWEZEKANI.

Hawa wameshau historia ya vita ya
Joel Nanauka (@jnanauka) 's Twitter Profile Photo

Hebu anza kwa kujiambia “Niko Kwenye Mchakato” Kila mtu anaweza kupata sababu ya kwa nini ni ngumu kwake kufanikiwa. Kuna ambaye alikanwa na Baba yake akalelewa na mama yake pekee kwenye mazingira magumu. Huyu mwingine alishindwa kuendelea na masomo kwa kukosa ada. Kuna

Hebu anza kwa kujiambia “Niko Kwenye Mchakato”

Kila mtu anaweza kupata sababu ya kwa nini ni ngumu kwake kufanikiwa.

Kuna ambaye alikanwa na Baba yake akalelewa na mama yake pekee kwenye mazingira magumu.

Huyu mwingine alishindwa kuendelea na masomo kwa kukosa ada.

Kuna
Joel Nanauka (@jnanauka) 's Twitter Profile Photo

Jitahidi Kwenye kila UNACHOPITIA au KINACHOTOKEA Kwenye Maisha yako upate SOMO LA KUJIFUNZA na uone namna ya KUEPUKA kurudia makosa. Iko hivi, “If you REFUSE to learn the LESSONS, you will become the LESSON”. Yaani ukikataa kujifunza kupitia MAGUMU YALIYOKUTOKEA, utajikuta wewe