Safari ya Chris Brown Kutoka Tappahannock Hadi Kileleni mwa Muziki na Majaribu ya Maisha.
Chris Brown, jina kamili Christopher Maurice Brown, alizaliwa tarehe 5 Mei 1989, katika mji mdogo wa Tappahannock Virginia, Marekani.
🎬 ROBIN FENT 'Rihanna' ndiye mwanamke aliyesababisha Marekani ishindwe kumsamehe CHRIS BROWN hadi leo
CHRIS BROWN ni 'full package', amebarikiwa sauti, ana kipaji cha kuimba na kucheza kwa wakati mmoja. Hatutahesabiwa dhambi tukikiri, huyu ni Michael Jackson wa zama zake
Atakaye nionesha Text za Babe wake lialia kama huyu wangu Whatever iwe Today au ata siku za nyuma uko
Namrushia laki 5 Akanywe supu Nataka kuona wangapi mnateswa na mapenzi???💔😂
👉🏽 Pale ambapo upo zako Club, DJ anaanza kushusha Playlist yake ya ajabu plus Skrachii za hapa na pale, ama watoto wa uswazi kama wanavyosema "Dj anaSUGUA" 😅
Playlist ya DJ plus kuSUGUA kunawafanya wana wote ndani ya Club kupata vibe na kuENJOY kwa kile kinachofanywa....Muda
Airtel 5G Router mnaweza share na majirani zako walioko nyumba tofauti au wafanya biashara wenzako kwa kuwa inaunganisha vifaa 64 kwa muda mmoja
Pia, ina cover distance ya mita 100
Kuanzia bando la 110k kifaa unapewa BURE pamoja na power bank na ethernet cable
Wasiliana na
Jobless mwenzangu ni muda wa kutoroka kijiweni na kwenda kukopa msosi kwa mama ntilie....
Baada ya kula hakikisha mdomo unaukausha kinoma noma...
Then rudi kijiweni kuwambia 👉🏽 "NI MARUFUKU KULA MCHANA"
Ivooo yaan 😅
ASAKE this year so far 💯
-Maddison Square Garden ✅
-Youtube Centre ✅
-Capital One Arena ✅
-Michingan ( i.e AfroNation)✅
-Toyota Centre✅
-London (i.e Wireless Festival)✅
- ..⏳
"Overseas, dem wan chop me like suya .."