Heche Enock (@heche_m_enock) 's Twitter Profile
Heche Enock

@heche_m_enock

THE MORNING WILL COME...!

ID: 3326451675

calendar_today15-06-2015 08:19:03

3,3K Tweet

3,3K Followers

255 Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Tuko mkuyuni Mwanza saa nzima hakuna gari inasogea mbele wala kurudi nyuma, kujenga kadaraja hapa imechukua miaka miwili. Hali ni hii kila siku asubuhi na jioni.. watu wanateseka kama vile tumepata uhuru jana. Nchi haina uongozi kabisa ni uozo tu…

Heche Enock (@heche_m_enock) 's Twitter Profile Photo

Tangu Enzi za zamani watu walifungwa Magereza hata Paul na Sira walifungwa Magereza hii tabia ya watu kutekana na kupotezana Tarime tumechoka, tunasema Kama mtu amekosa afikishwe kwenye vyombo vya sheria Sinda Samson Mseti ametekwa jana mpaka leo hajulikani alipo hii IMETOSHA ss.

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Nyie CCM acheni unafiki 🚮 Huyu Katibu wa CCM na DC mmeenda hapo Sirari ya nini? Mtueleze: 👉🏽 Wameshatekwa akina Chonchorio na wenzake mmekaa kimya kama haiwahusu! Mlikuwa wapi? 👉🏽 Leo mmefika Sirari na kujifanya mnajali kwa sababu wananchi wameonyesha hasira! Wangekaa kimya

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Thank you Jesus🙏🏽 Kwenye maombi niliambiwa wiki hii Mungu atajibu mengi mi nitoe tu shukrani Mnaona sasa?

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

TAL ni special creature. Ni viumbe wachache kama TAL katika siasa zetu. Wanachama wa CHADEMA tunamuunga mkono kwa kuwa siasa zake hazina mawenge. TAL anastahili kutuongoza. Dhamira ya waliomtupa gerezani ni awasujudie. Amegoma kupiga magoti. Jambo moja ni hakika, TUTASHINDA.

TAL ni special creature. Ni viumbe wachache kama TAL katika siasa zetu. Wanachama wa CHADEMA tunamuunga mkono kwa kuwa siasa zake hazina mawenge. TAL anastahili kutuongoza. Dhamira ya waliomtupa gerezani ni awasujudie. Amegoma kupiga magoti. Jambo moja ni hakika, TUTASHINDA.
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Tunapokea taarifa nyingi kuhusu usalama wa Mwenyekiti wetu. Tunazipokea kwa uzito unaotakiwa, Mwenyekiti Tundu Antiphas Lissu alikamatwa akiwa na afya yake njema. Lolote baya likimtokea kwenye mikono ya vyombo vya dola sisi chama hatutakubali. Dunia haitakubali. Rais Samia Suluhu

Tunapokea taarifa nyingi kuhusu usalama wa Mwenyekiti wetu.

Tunazipokea kwa uzito unaotakiwa, Mwenyekiti <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> alikamatwa akiwa na afya yake njema.

Lolote baya likimtokea kwenye mikono ya vyombo vya dola sisi chama hatutakubali. Dunia haitakubali.

Rais <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a>
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Nawakumbusha kuwa mgombea udiwani na kada mtiifu wa Sirari - Sinda Samsoni Mseti bado hajapatikana Chama Cha Mapinduzi si mlisema mtampata? Wananchi wa Sirari mmedanganywa tena na mjiandae kuendelea kutekwa maana ni kama kuna jini huko mla watu 😓 #enforceddissapearances #Tanzania

Nawakumbusha kuwa mgombea udiwani na kada mtiifu wa Sirari - Sinda Samsoni Mseti bado hajapatikana <a href="/ccm_tanzania/">Chama Cha Mapinduzi</a> si mlisema mtampata? 
Wananchi wa Sirari mmedanganywa tena na mjiandae kuendelea kutekwa maana ni kama kuna jini huko mla watu 😓
#enforceddissapearances #Tanzania
Heche Enock (@heche_m_enock) 's Twitter Profile Photo

Zamani watu walitafta majambazi, Leo raia wenzetu ndo wametekwa na wamepotezwa Nchi imegeuka kua Nyakua nyakua, familia zinalia poleni ndugu na jamaa kwakuondokewa na ndugu zetu hawa inasikitisha sana.

Lucas Ngoto (@lucas_ngoto) 's Twitter Profile Photo

Ni juzi tu aliulizwa unaweza kugombea nafasi ya urais akagoma kabisa Leo anatuaminisha kwamba anagombea awasaidie watz Hizi habaari za kuamliwa ngumu sana Sijui nani atuamshe tutoke kwenye usingizi mzito

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Ccm mtakubali kushiriki uchaguzi ambao Mwenyekiti wa tume ameteuliwa na Mwenyekiti wa Chadema? Kwanini mnakosa hata aibu kidogo.

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Zakaria Obad amewataka viongozi wa chama hicho, viongozi wa dini na wananchi kwa ujumla kutokubali kudanganyika na kusaliti mapambano ya kudai haki nchini. Akizungumza na JAMBO TV siku ya Jumatano,

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mhe Rais tangu uingie madarakani mamia ya wakosoaji wa serikali yako wametekwa na kupotezwa. Huyu ni mwingine ambae amechukuliwa juzi tarehe 19/8/2025. Uongozi wa aina hii wa kutia hofu na kunyamazisha watu haukusaidii wala hausaidii serikali yako. Nimesoma historia ya

Mhe Rais tangu uingie madarakani mamia ya wakosoaji wa serikali yako wametekwa na kupotezwa.

Huyu ni mwingine ambae amechukuliwa juzi tarehe 19/8/2025.

Uongozi wa aina hii wa kutia hofu na kunyamazisha watu haukusaidii wala hausaidii serikali yako.

Nimesoma historia ya