Head Kota
@headkota
Business Man& Entrepreneur
ID: 1836369800580280320
18-09-2024 11:41:31
1,1K Tweet
126 Followers
531 Following
@BabaKarissa Yeye mwenyewe, baada ya kupewa namba zake nikamuuliza eti vipi? Akasema anahitaji msaada... Nikampa.... Kuna shida hapo? Mbona wewe hukuomba namba zake uliposikia tafarani online? Roho mbaya au kutojali? Haya, lete na namba za wengine wote niwaulize kama wanahitaji msaada au
The Chanzo Lissu Kafunga njia zoteโฆ imebidi waanze kujitokeza mmoja mmoja kutoka mafichoni ๐ ๐
Privaldinho Walishindwa kumlinda yule Rais wa Syria akapinduliwaโฆ Wataweza huyu!?
Leo Rais wa WAPWA ๐ช ๐ธ ๐ฎ ๐ท ๐น๐ฟ๐ฒ ๐น ๐ฟ Anatoa Milio kuhusu filter na make up huko Milio ni mikali sasa sijui kimemkuta nn ety tajiri la Kihaya tunaomba uongee chap chap huku unalia tupo nje ya muda ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Brother SIR JEFFโก๐น๐ฟ with all due respect kwako na bila Ku judge IQ yangu naomba niulize kitu naomba kujua tofauti ya BETTING & TRADING manake Jana asubuhi nmeona kama unatoa milio ya kupoteza $780
TICHA MANDEVU13 Hakikisha yupo kwenye utulivu ikiwezwkana muache leo ila kesho au kesho kutwa kaa nae vizuri ongea nae kama mzazi atakuelewa Au kama hauwez tafuta mtu wa busara aongee nae Usimpige sio solution kumbuka huyo ni kijana mdg bado yupo kweny stage ya balehe
Privaldinho Sikuzote mmarekani hakupigi moja kwa mojaโฆ Kwanza anakuita jina bayaโฆ Alafu anakupiganisha na watu wako ndani kwa ndani! Yeye ndio anajidai kuja kutoa support baadae- kumaliza mchezo! Case study: LIBYA- GADAFFI na NATO