@hassandaffa2
ID: 885953422444425217
calendar_today14-07-2017 20:05:30
17 Tweet
18 Followers
276 Following
2 years ago
Ukisikia Ukiona na Kuacha inafaida Kubwa
Kama Huna Luga rafiki Hata Ukaishi wapi Utakua wakulaumiwa tu
Ahadi haipatani na Njaa Bora aonekanae Mwizi Kuliko Mwenye Msimamo Muongo
Usiwapie simu wanachojua Unaomba hela Ukiteuliwa Wazfa Wowote Wao ndio wakwanza kukupongeza
Nafikiri wamerusha hii video makusudi wasijue ni ushahidi mbaya sana kwao. Ukitazama hii video kwa makini utagundua kuwa kijana yuko uchi .
8 years ago
UNAWEZA UKAISHI BILA MIGOGORO NA MAISHA YAKASONGA NAMAANISHA MIGOGORO SIO SIFA
UKITAKA KUSIFIWA UJIPANGE YANGA HAPAJAWAHI KUA NA RAIS
Baada ya kuwakosea wenzio inabidi Uwaombe Radhi . .,.. Sawa nawaomba hio uliosema .