George Saakumi (@georgesaakumi) 's Twitter Profile
George Saakumi

@georgesaakumi

ID: 1820508859401719809

calendar_today05-08-2024 17:15:58

4,4K Tweet

507 Followers

722 Following

EWTN Vatican (@ewtnvatican) 's Twitter Profile Photo

She gave up fame for faith. Discover how Sr. Clare Crockett went from a party-loving teen to a joyful nun who gave her life for others. A story you won’t forget. 👉 bit.ly/4oguux7

Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

BREAKING: #TanzaniaLeaks tuliwaeleza kuwa kada makini na mtiifu asiye yumba, Hamphrey Polepole yuko Tanzania salama Salmin—kwenye moja ya vyombo vya ulinzi na usalama. Analindwa. Hakuna wa kumgusa. Siku yaja, atatoka hadharani. Video: usiku wa kuamkia leo—Jumapili akiwa Posta.

Habari Digital (@habaridigital_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Kwenye chapisho la Humphrey Polepole kupitia ukurasa wake wa Instagram akiambatanisha na 'video' inayomuonyesha akiwa eneo la Posta, Dar es Salaam jirani kabisa na sanamu la askari (Askari Monument) ameandika 👇 Hapa ni wapi? Nafikiri kwenye hili tumemaliza ubishi.

Catholic Sat (@catholicsat) 's Twitter Profile Photo

His Holiness Pope Leo XIV leads over a million young people in singing the Our Father in Latin, this morning at the Holy Sacrifice of the Mass for the Jubilee of the Youth in Rome.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

The next episode of ‘a few moments later’ 1. Mimi natoka Tanzania. Nilizaliwa Mbeya, nikakulia Mbeya, nikakulia Arusha, Moshi na Tanga hatimaye kwenda Dar es Salaam. 2. Nimezaliwa KCMC (Moshi), nimekulia hapa Moshi, nyumba yangu Soweto (Moshi), makazi yangu sasa hivi ni

Shija S.S.Shibeshi (@shijashibeshi) 's Twitter Profile Photo

Hapa ni Bukumbi kanisani jimboni Misungwi! Sauti za Lugha ya Kisukuma zinasikika zikilalamikia Rushwa. Tutaelewana tu! #NoReformsNoElection

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🔥THINGS ARE COOKING NICELY ON THE GROUND‼️ CCM cadres fighting over nominations, while family members of first families pass unopposed in their constituencies! Nyie mna akili kweli wanaCCM? Mnataka kutoana roho wakati familia chache wamejipitisha bila kupingwa? Mmeshindwa nini

Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

Angewapeleka kwa msajili kama alivyo fanya yule bwana wa akidi ili tuone namna ambavyo msajili anapata kigugumizi kwenye clear violation.

Habari Digital (@habaridigital_) 's Twitter Profile Photo

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Humphrey Polepole amechapisha wimbo wake akiambatanisha na ujumbe huu 👇 Nimelazimika kuingia studio na kuzalisha wimbo huu. Nina "udediketi" wimbo huu kwa mwana CCM mwenzangu aliyetumia vyombo vyote vya habari jana. Ujumbe huu uende kwake na

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Kwenu watanzania wapenda haki ❤️ Pokeeni ujumbe wa kinabii 🙏🏽 Hatutavunjika moyo maana tunajua muda wa Mungu ndo sahihi God’s timing is always perfect.  His ways are not our ways, but he will never abandon us Tuendelee na #NoReformsNoElection kwa mawazo, maneno na vitendo 👊🏽

Kwenu watanzania wapenda haki ❤️ 
Pokeeni ujumbe wa kinabii 🙏🏽
Hatutavunjika moyo maana tunajua muda wa Mungu ndo sahihi
God’s timing is always perfect.  His ways are not our ways, but he will never abandon us 
Tuendelee na #NoReformsNoElection kwa mawazo, maneno na vitendo 👊🏽
World War 3 (@worldwar_3_) 's Twitter Profile Photo

🚨BREAKING NEWS: Russian🇷🇺⚓ Warships and Nuclear Submarine Arrive in Cuba in Show of Force A Russian navy frigate and a nuclear-powered submarine docked in Havana on Tuesday. While both the U.S. and Cuba stated the visit poses no threat, the move is widely seen as a symbolic