Donatha Msamba (@donathamsamba) 's Twitter Profile
Donatha Msamba

@donathamsamba

Child of God 😇 Plumber |Painter | an entrepreneur| @YoungAfricansEN fan

ID: 1133952228895670272

calendar_today30-05-2019 04:24:13

24,24K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Sema kibongo bongo kuanzisha mahusiano mapya ni ngumu 😂unakutana na mtu hata ukikaanga mayai sita anaumia, wakati Ex wako alikuwa anakuletee na ka parachichi kakushushiaa😂 x.com/RahmaMwita/sta…

Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰 (@tinahcristiaan) 's Twitter Profile Photo

Kifo💔Dogo jana alikuwa anachangisha rambi rambi ya rafiki ake ambae amefariki jana kwa maradhi,Usiku na yy anafariki kwa ajali💔Misa yao imefanywa kwa pamoja kanisani.Majeneza mwawili ya marafiki. kifo ni halisi,kifo ni mawaidha Yenye uchungu ndani yake🙏

Kifo💔Dogo jana alikuwa anachangisha rambi rambi ya rafiki ake ambae amefariki jana kwa maradhi,Usiku na yy anafariki kwa ajali💔Misa yao imefanywa kwa pamoja kanisani.Majeneza mwawili ya marafiki.
kifo ni halisi,kifo  ni mawaidha Yenye uchungu ndani yake🙏
Donatha Msamba (@donathamsamba) 's Twitter Profile Photo

KUPATA LIPA NAMBA YA MIxx By Yas uhitaji kusajili laini mpya,unaweza kupata Kwa laini yako unayotumia,tunakuongezea Akaunti ya lipa namba ambayo itakuwa inapokea miamala unayolipwa, Akaunti mbili kwenye laini Moja WHATSAAP 0768466292 Karibu nikuhudumie

KUPATA LIPA NAMBA YA MIxx By Yas uhitaji kusajili laini mpya,unaweza kupata Kwa laini yako unayotumia,tunakuongezea Akaunti ya lipa namba ambayo itakuwa inapokea miamala unayolipwa, Akaunti mbili kwenye laini Moja 

WHATSAAP 0768466292
Karibu nikuhudumie
OG🤎 (@msafwa_og) 's Twitter Profile Photo

Humu kila mdada anapesa Ana iphone 16 nakuendelea Wanaish appartments za 400k nakuendelea sio mageto Wanavaa mawig ya bei na kusuka kila week Nguo na mapoch brands tu Mahotel makubwa + kusafiri nje Afu kuna mimi hapa nasubiri mahindi yaote shambani🥹🙌🏻

Humu kila mdada anapesa
Ana iphone 16 nakuendelea
Wanaish appartments za 400k nakuendelea sio mageto
Wanavaa mawig ya bei na kusuka kila week
Nguo na mapoch brands tu
Mahotel makubwa + kusafiri nje

Afu kuna mimi hapa nasubiri mahindi yaote shambani🥹🙌🏻
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Hizi ndio aina ya message nazopokea kutoka kwa vijana wa Tanzania kwa sasa. Wanaulizia ni jinsi gani wanaweza kupata ufadhili wa silaha na mafunzo ya kijeshi? wanaulizia ni jinsi gani wataweza kuji organize kuunda vikundi vya uasi, wanauulizia ni jinsi gani wanaweza kujiunga na

Hizi ndio aina ya message nazopokea kutoka kwa vijana wa Tanzania kwa sasa. 

Wanaulizia ni jinsi gani wanaweza kupata ufadhili wa silaha na mafunzo ya kijeshi? wanaulizia ni jinsi gani wataweza kuji organize kuunda vikundi vya uasi, wanauulizia ni jinsi gani wanaweza kujiunga na
Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰 (@tinahcristiaan) 's Twitter Profile Photo

Nikiangalia Nyuma January to Dec,I survived a lot privately this year.Nashukuru kwa kila nyakati niliopitia,ata zile zilizonitoa machozi ya maumivu. MUNGU nashukuru🙏 Ahsanteni Nyote kwa support yenu kwa Upendo mwingi mlionionyesha humu🙏 2025🙏ahsante kwa maumivu oct 29💔

Nikiangalia Nyuma January to Dec,I survived a lot privately this year.Nashukuru kwa kila nyakati niliopitia,ata zile zilizonitoa machozi ya maumivu.
MUNGU nashukuru🙏
Ahsanteni Nyote kwa support yenu kwa Upendo mwingi mlionionyesha humu🙏
2025🙏ahsante kwa maumivu oct 29💔
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Happy New year Tanzania. 2026 ni Mwaka wa kufocus kupambania haki ambazo wenzetu waliuawa wakizipigania. 2026 sio Mwaka wa kufanya maridhiano na wauwaji walioua Ndugu zetu na bado wanatushikilia na mtutu as bunduki. 2026 ni Mwaka wa kudai Katiba Mpya na uchaguzi Mpya, sio

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Katika kuukaribisha Mwaka 2026, salamu zangu zinakwenda kwa Mama Samia Suluhu Hassan, na kwa Watanzania wote. Salamu hizi ni kumbusho la kanuni isiyobadilika ya maisha na haki ya Mungu. “Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.”

Katika kuukaribisha Mwaka 2026, salamu zangu zinakwenda kwa Mama Samia Suluhu Hassan, na kwa Watanzania wote. Salamu hizi ni kumbusho la kanuni isiyobadilika ya maisha na haki ya Mungu.

“Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.”
Donatha Msamba (@donathamsamba) 's Twitter Profile Photo

HERINI YA MWAKA MPYA WAPENDWA tumebadilisha mwaka Lakini Maumivu yetu hayawezi kubadilika tuzidi kuwaombea ndugu na jamaa zetu waliotangulia mbele za Haki

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Mwaka huu utakuwa wa NEEMA zaidi kwa SOLUTION PROVIDERS. Any person ambaye anauza bidhaa au Huduma ambazo zinaleta Solution kwa jamii, mwaka huu utakuwa mzuri sana kwake. Lakini biashara za starehe kwa sehemu kubwa zitayumba na kushuka. Save for future use #MsimuMpya

OG🤎 (@msafwa_og) 's Twitter Profile Photo

Hii kombo naitoa kwa 90000 Tzsh bei ya offa Koti chambuu✅ Vesti na jeans✅ Size zote zipo✅ Mikoani natuma na delivery kwa gharama ya mteja Ubungo external darajan (Maziwa road) 0763509705

Hii kombo naitoa kwa 90000 Tzsh bei ya offa
Koti chambuu✅
Vesti na jeans✅
Size zote zipo✅
Mikoani natuma na delivery kwa gharama ya mteja
Ubungo external darajan (Maziwa road)
0763509705
Polycarp The Bibliophile (@polycarpmdm) 's Twitter Profile Photo

Huyu ni UVCCM kule Facebook, bila shaka amehoji kwanini Serikali ya Tanzania iliamua kuwapa Zabuni ya kujenga SGR Yapi Merkez (Waturuki) na kuwaacha Wakandarasi wa Kichina. Bila shaka huyu UVCCM anahofia Performance ya Yapi Merkez katika Ujenzi wa Miradi mikubwa, na Bilashaka

Huyu ni UVCCM kule Facebook, bila shaka amehoji kwanini Serikali ya Tanzania iliamua kuwapa Zabuni ya kujenga SGR Yapi Merkez (Waturuki) na kuwaacha Wakandarasi wa Kichina.

Bila shaka huyu UVCCM anahofia Performance ya Yapi Merkez katika Ujenzi wa Miradi mikubwa, na Bilashaka
Donatha Msamba (@donathamsamba) 's Twitter Profile Photo

Habari Wateja wangu WA thamani mwaka umepinduka Tupo kwenye mwaka mpya nawashukuru kwa sapot yenu mlionionyesha Kwa mwaka Jana Mungu aendeleee kutubariki sote tunaendelea TULIPOISHIA naomba tusiache KUSAPOTIANA

Habari 
Wateja wangu WA thamani mwaka umepinduka Tupo kwenye mwaka mpya nawashukuru kwa sapot yenu mlionionyesha Kwa mwaka Jana Mungu aendeleee kutubariki sote tunaendelea TULIPOISHIA naomba tusiache KUSAPOTIANA
Jessie J🌺 (@mrs_pappi) 's Twitter Profile Photo

NAOMBA Retweet Yako Ndugu🙏 Combo nzuri ya Kike😋 Saa Bracelet Necklace & earrings set Na Pete Full packed full boxed iko na MAUA Msuprize umpendae na gift set ya kimahaba Tunafanya delivery Angle zote Tz 0745124138 Karibuni Sana

NAOMBA Retweet Yako Ndugu🙏
Combo nzuri ya Kike😋
Saa 
Bracelet
Necklace & earrings set
Na Pete
Full packed full boxed iko na MAUA
Msuprize umpendae na gift set  ya kimahaba
Tunafanya delivery Angle zote Tz

0745124138

Karibuni Sana
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Dear Mr. President Donald J. Trump If you were to remove this murderous leader from Africa, just as you removed Maduro from Venezuela without civilian casualties you would be regarded as a hero across the African continent. Africans remain deeply shocked that on October 29 2025

Dear Mr. President <a href="/realDonaldTrump/">Donald J. Trump</a>
If you were to remove this murderous leader from Africa, just as you removed Maduro from Venezuela without civilian casualties you would be regarded as a hero across the African continent. Africans remain deeply shocked that on October 29 2025
MZUNGU PORI💪 (@mzungu_pori1) 's Twitter Profile Photo

Unataka Internet yenye kasi zaidi na unafuu wa gharama? Kwa laki moja (100K) tu unapata ODU router pamoja bando la mwezi FREE DELIVERY POPOTE DSM bando zake; 70k Mbps 25 100k Mbps 40 Cc Mrwati CALL 0687892129 Wa.me/255687892129

Unataka Internet yenye kasi zaidi na unafuu wa gharama?

Kwa laki moja (100K)  tu unapata ODU router pamoja bando la mwezi 

FREE DELIVERY POPOTE DSM

bando zake;

70k Mbps 25
100k Mbps 40

Cc <a href="/heristraton29/">Mrwati</a>
CALL 0687892129
Wa.me/255687892129
Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰 (@tinahcristiaan) 's Twitter Profile Photo

Tena sisi wenye biashara za uongo na kweli kwa kurogana tunaongoza.Nshatoka kijiweni napeleka chakula Sgr station.Nikapitiliza nakuja kushtuka niko Ntyuka Mda ushaenda.Nikaa chini nikala msosi ili nipate nguvu ya kurudi kijiweni🙌Utaamua wewe kusimama na Mungu ama upige cm kilwa