CLEMENCE
@clemencekitoti
Fata yako
ID: 1140680037567533056
17-06-2019 17:58:08
47,47K Tweet
9,9K Followers
6,6K Following
“Tunajenga miundombinu ya kumwagilia, ili wakulima muweze kulima mara mbili kwa mwaka” Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Katika Ziara yake Mkoani Rukwa. Samia Suluhu ikulu_Tanzania #DiraYaSamia
Tazama video hii kufahamu jitihada zilizowekwa na kutekelezwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkoa wa Rukwa. Jitihada hizi zimejikita kwenye Sekta ya afya, elimu ya ngazi ya chini na juu, miundombinu na miundombinu ya kilimo na kuhufadhi chakula. Samia Suluhu
Hii maabara inaenda kuwa game changer kwenye kilimo, tunaweza sasa kufanya tafiti za mbegu, mbolea na vitu vingine wenyewe 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾big surprise siku ya #NaneNane2024 #DiraYaSamia Wizara ya Kilimo