Charles Alphonce (@charles45064867) 's Twitter Profile
Charles Alphonce

@charles45064867

ID: 1483923722100748292

calendar_today19-01-2022 22:06:38

523 Tweet

1,1K Followers

3,3K Following

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Mkenda bwana! Kigogo gani tena? Mbona husemi umewapa kazi rafiki zako? Mbona husemi unalazimisha bodi ndiyo ilipe 200m TZS kwa kazi yako isiyo na tija? Kwani CAG ana kazi gani? Mkenda unadhalilisha sana maprofesa!.. Ila twende tu tutafika.. Ila hutoboi

Mkenda bwana! Kigogo gani tena? Mbona husemi umewapa kazi rafiki zako? Mbona husemi unalazimisha bodi ndiyo ilipe 200m TZS kwa kazi yako isiyo na tija? Kwani CAG ana kazi gani? 

Mkenda unadhalilisha sana maprofesa!.. Ila twende tu tutafika.. Ila hutoboi
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Hatuwezi kuwa na waziri au kiongozi wa nchi anayepiga mitama mkewe.. Huyu ni kichaa na insecure .. Mtu mwenye akili timamu huwezi piga mkeo no matter what.. Haya ndiyo alikuwa anafanya kambale then ...

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

“Watanzania tunaamini mali zote za asili ni mali zetu hivyo tunapoona zinatumika vibaya lazima wananchi wahoji kwa kuwa ni mali za umma na Rais ni msimaizi tu, hivyo bandari ni yetu sote na ni wajibu wetu kuifatilia” — Padre Charles Kitima, Katibu Mkuu TEC #ChangeTanzania

“Watanzania tunaamini mali zote za asili ni mali zetu hivyo tunapoona zinatumika vibaya lazima wananchi wahoji kwa kuwa ni mali za umma na Rais ni msimaizi tu, hivyo bandari ni yetu sote na ni wajibu wetu kuifatilia”  —  Padre Charles Kitima, Katibu Mkuu TEC 
#ChangeTanzania