Butogwa Lusangija
@blusangija
ID: 928899747863302144
10-11-2017 08:18:52
47 Tweet
50 Followers
41 Following
Waziri wa Nishati,January Makamba (January Makamba ) akiwa Buselesele Chato amewataka Wananchi wa Chato kumzingatia Mbunge wao Mh.Medrad Kalemani sababu anawapigania sana awapo Dodoma na Dar. Waziri Makamba amempa Majiko 100 ya Gesi Kalemani ili kuyasambaza kwa Mama lishe Jimboni Chato
🔴Breaking News! 🎽 🧦 ⚽ Uzi wa Nyumbani wa timu ya Young Africans uliobuniwa na SHERIA NGOWI ™ umetajwa na ukurasa maarufu wa michezo Afrika katika mtandao wa Twitter ujulikanao kama Africa Soccer Zone kama moja ya uzi uliotengenezwa kwa ubora na ubunifu zaidi barani hapa.
Uzi wa Yanga umetajwa kushika namba 2 nyuma ya Uzi wa Timu ya Zamalek ya Misri katika orodha hiyo huku uzi namba 3 wa watani wao ukishika nafasi ya 9 kwa ubora na ubunifu. Credits: sokahub.co.tz Bidhaa Bora Afrika🌍 Designed by SHERIA NGOWI ™ #TimuYaWananchi #sheriangowi
Clouds Media “Kuna Politics of Information na Politics of Imagination” Maharage Chande (MD WA TANESCO)
Butogwa Lusangija Clouds bado ni kubwa lakini inasumbuliwa na change in technology. Agreed with you that wana itaji kuwa na watu wemye maono mapya maana ulimwengu ume badilila. Kwa sasa