Father G (@baba_g27) 's Twitter Profile
Father G

@baba_g27

Medical personnel

ID: 1675188936069509120

calendar_today01-07-2023 17:06:06

873 Tweet

69 Followers

320 Following

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Hata Wanaccm wanasema #NoReformsNoElection Sasa msianze kukimbilia kumfuta uanachama kijana wa watu maana akili zenu tunazijua.😂

No Reforms no Election (@1maliga) 's Twitter Profile Photo

Kuzuia no reforms no election ni sawa na kuzuia radi kwa mokono, vijana wameamka hawataki upuuzi tena wa ma Chama Cha Mapinduzi safari hii ni bampa to bampa mpaka kieleweke hatucheki na kima!

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Mimi nina kadi ya CCM lakini ninapinga Utekaji. Ninapinga utekaji kwa sababu nimeitwa kuchunga watu, wakiisha nitamchunga nani.

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Leo jioni nimetoka na mwanangu mmoja kula; msosi ulivyokuja akasema—Jeff tusali Nikamwambia bro wewe nisalie, mimi kuna kitu namalizia mara 1 Nikafungua simu, nikaangalia hii picha. Hakyamungu, hasira ya ajabu sana ikanishika, nikashindwa kula Bro, No Reforms No Elections😡

Leo jioni nimetoka na mwanangu mmoja kula; msosi ulivyokuja akasema—Jeff tusali

Nikamwambia bro wewe nisalie, mimi kuna kitu namalizia mara 1

Nikafungua simu, nikaangalia hii picha. Hakyamungu, hasira ya ajabu sana ikanishika, nikashindwa kula

Bro, No Reforms No Elections😡
Hancy Machemba (@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Naunga mkono NO REFORMS NO ELECTION kwa sababu hizi. 1. Kura yangu iwe na thamani nichague ninayemtaka na niliyemchagua aniheshimu. 2. Niliyemchagua akawajibike kwangu akijua naweza kumuondoa akishindwa majukumu yake Faida ni nyingi ila mwisho kabisa HAKI HUINUA TAIFA

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza SIYO PIGO KWA Tundu A. M. Lissu ! Tumepigwa Wote. Nimesikia baadhi ya watu wanasema Tundu Lisu amepata pigo mahakamani baada ya mahakama kuamua kwamba mashahidi watakaotoa ushahidi katika kesi ya uhaini, watakuwa wa siri. Yeye hatawajua