๐’ ๐ˆ ๐‹ ๐• ๐€ (@amsilvery) 's Twitter Profile
๐’ ๐ˆ ๐‹ ๐• ๐€

@amsilvery

God over everything ||
@ManUtd @SimbaScTanzania & @realmadrid || 99% of my tweets are jokes

ID: 1270002963642290177

calendar_today08-06-2020 14:41:30

7,7K Tweet

983 Followers

782 Following

heisCHIUKUTA_ (@son_noeli) 's Twitter Profile Photo

Leo nimeamka na energy kubwa kuliko siku zote. Kablaa sijaenda kuchomeka jua basi tuongeze marafiki hapa. Like , repost na ushushe handle yake hapa nikufollow chap chap. Good morning vizimkaziii ๐Ÿ˜๐Ÿ‘‹

๐“œ๐“ฎ๐“ฝ๐“ฑ๐Ÿ—ฝ (@trinhezron) 's Twitter Profile Photo

โ€œWalikuwa KAMA walevi na wavuta bangi,lakini yule dada alikuwa KAMA anajiuzaโ€ Keyword ni KAMA๐Ÿคฆ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Binafsi sijawahi kwenda polisi kumshtaki yeyote. Pia, sijawahi kuhitaji msaada binafsi kutoka polisi. Hiyo itabaki hivyo maisha yangu yote hadi siku tumewafukuza CCM na kuondoa โ€œpolice forceโ€ inayolinda maslahi ya CCM na kuweka โ€œpolice serviceโ€ itakayokuwa inatoa huduma kwa umma.

๐’ ๐ˆ ๐‹ ๐• ๐€ (@amsilvery) 's Twitter Profile Photo

Tutumie pichaa ๐ŸŽถ๐ŸŽถ Ukiwa unakata gogoo ๐ŸŽถ๐ŸŽถ Tuuone uzuri wakoo ๐ŸŽถ๐ŸŽถ Tuma videoo ๐ŸŽถ๐ŸŽถ Ukiwa unakata gogoo ๐ŸŽถ๐ŸŽถ Tuuone uzuri wakoo ๐Ÿ˜‚

Dr. Dorothy Gwajima (@dr_dgwajima) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA FUPI Ndugu Wananchi, nimepokea 'Tags' nyingi za maoni na maswali kuhusu taarifa iliyotolewa na RPC mkoa wa Dodoma juu ya mwenendo wa shauri la 'Binti wa Yombo' (reja taarifa za awali). Ndugu Wananchi, nimepokea hisia zenu, maoni na maswali yenu ambayo mmeelekeza

Ambele Young (@ambele_young) 's Twitter Profile Photo

Naomba retweets hapa wakuu! Tumerejea tena kuendelea kukupa huduma bora ya router za Airtel zenye kasi ya 5G. **Ofa Maalum:** Nunua kifurushi chochote kuanzia Tsh 100,000/= na upate router bure ikiwa na charger na power bank! **Bei za vifurushi ni kama ifuatavyo:** - Tsh

Naomba retweets hapa wakuu!

Tumerejea tena kuendelea kukupa huduma bora ya router za Airtel zenye kasi ya 5G. 

**Ofa Maalum:**
Nunua kifurushi chochote kuanzia Tsh 100,000/= na upate router bure ikiwa na charger na power bank!

**Bei za vifurushi ni kama ifuatavyo:**
- Tsh
Southwest TEE๐Ÿš€ (@really_hustle) 's Twitter Profile Photo

Ni first born , Nina familia Siwezi ongea kitu chochote maana sipo salama Ndugu zangu watoa taarifa na jeshi la mauaji na wizi wa Mali za umma niwape pombegezi zenu za kazi njema mnafanya "MNATOMBWA" Wenu mtiifu southwest ๐Ÿš€

๐’ ๐ˆ ๐‹ ๐• ๐€ (@amsilvery) 's Twitter Profile Photo

Nilivyoona yule mwanamke kafanyiwa kile kitendo nikajua wahusika watakamatwa within a week na watafikishwa mahakamani chap kwasababu serikalini pia kuna wanawake wangeona uchungu Lakini imekuwa tofauti ๐Ÿ’”

๐’ ๐ˆ ๐‹ ๐• ๐€ (@amsilvery) 's Twitter Profile Photo

Ukiona watu wengi wanataka wewe ujiuzulu haimaanishi kuwa wanakitaka hicho cheo chako Wanataka ujiuzulu kwasababu umeshindwa kufanya kazi iliyokuweka hapo

Zizzou Lity (@zizzoulity) 's Twitter Profile Photo

Organization: NGO Job Position: ACCOUNTANT Anaye jua kufanya Payroll, Cash Book na Expenditure Analysis, akiweza Quick Books ni vyema zaidi. Mengine I will train her on the jobโ€ฆmust be female and a youth. CALL/ WHATSAPP: +255 752 320 320