Health with Mhando 🩺 (@afya_code) 's Twitter Profile
Health with Mhando 🩺

@afya_code

Ukuta imara kwa Wanaume| Afya imara ya Uzazi| Ukuaji binafsi| Uchumi imara & Uhuru wa kifedha

chat.whatsapp.com/FZmP7C7dBvQ2Ap…

ID: 1645357247529205762

calendar_today10-04-2023 09:25:47

21,21K Tweet

730 Followers

161 Following

Health with Mhando 🩺 (@afya_code) 's Twitter Profile Photo

Hata Mimi nilikuwa kama wewe... Miaka minne iliyopita . Nilikuwa naogopa kutongoza, nafanya wema ili nipate chochote kitu in return . Naweza nikazoeana na demu hadi akanifanya beshte ake na nampenda . Namtaka kimapenzi, sitaki urafiki lakini naishia kuwa bestie fwend Hakuna

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Kabla haujadhalilishwa na mwanamke jiulize. Wewe mpambanaji usie na tu vitu ukikaza in 10 years utakuwa na heshima kiasi gani. Na yeye akiendelea kujiremba na kuliwa na wenye pesa in 10 years atakuwa na hali gani. Fimbo pekee inayofaa kukuliza na kukuumiza ni kutembea nje ya

Health with Mhando 🩺 (@afya_code) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume unashindwaje kumfuata mtu na kumwambia unampenda...? Unaogopa atakukataa . Acha hizo pigo mkuu . Mfuate mtu mchane makavu laivu Utaogopa Wanawake mpaka lini...? . Utakubali mademu wakali wote wawe mashoga zako mpaka lini...? Nina tiba kwa ajili yako Mwanaume

Health with Mhando 🩺 (@afya_code) 's Twitter Profile Photo

On DM . Hellow kaka, habari yako, mimi ni Moja ya followers wako hapa *x* . Ambao nimekuwa nikikufatilia Tangu January 2025. . Naitwa Shabani, kutoka Tanga Nina miaka 26 . Leo Baada ya kuona Ile tweet Yako inayosema. . "Mwanaume Unatakiwa kujua kutongoza Ili kuepuka kuwa

Health with Mhando 🩺 (@afya_code) 's Twitter Profile Photo

The brand wiz 👻 Nina draft ya maudhui plus ideas kuhusu #KuwaNiceGuyniUgonjwa Ideas hizo ni maisha ya kila siku ya kijana anayepambana kupata VALIDATION, LOVE & AFFECTION kutoka kwa Wanawake kwa njia ya kuishi nje ya uhalisia wake, kutoa zawadi, kusifia mara kwa mara, kutatua matatizo ya

Health with Mhando 🩺 (@afya_code) 's Twitter Profile Photo

Hivi ni kwanini Wanaume wengi wanadhani demu kuact Hard to find ni guarantee ukimpata umewin... Vipi kama nikikuambia ni... - Lack of Interest - Anakuona kama rafiki na sio potential partner - Kwake wewe ni Nice Guy hajafikiria hata tu uwe mpenzi wake Embrace Mindset mpya

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume!!. -Jua uwezo wako. -Ufanyie kazi. -Fanya kilicho bora, -Jenga nidhamu binafsi -Jikumbushe kuwa hakuna mtu atakayekuja kulipia bili zako. Kila kitu ni juu yako mwenyewe. #KataaUkawaida

Health with Mhando 🩺 (@afya_code) 's Twitter Profile Photo

Kitu kimenisaidia kuepuka Friendzone mazima ni nikimuelewa mtoto mzuri namnyookea alafu natema nyongo zangu... Akinikubali tunaishi kibingwa . Akinikataa naendelea na mambo yangu Hakuna ugumu tatizo ni unalazimisha kupata Upendo sehemu ambayo interest rate ni 0% Kinachotokea

Health with Mhando 🩺 (@afya_code) 's Twitter Profile Photo

Wanaume wenye confidence ya kutosha na wanajua Thamani zao wanaondoka sehemu ambapo hawaoni mambo mawili... - Interest - Reciprocation Umemtongoza demu kama huoni hivyo vitu viwili ONDOKA Usisubirie kuwa Mwanaume dhaifu ambaye anakukumbuka siku ameumizwa huko . Usisubirie

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Ukibadilisha mtazamo wako kuhusu pesa, unabadilisha maisha yako yote. Kuna watu hawana hela, si kwa sababu hawafanyi kazi… Bali kwa sababu mtazamo wao kuhusu pesa umeharibiwa na malezi, hofu, na fikra potofu. 🧵soma zaidi kuna kitu kutagusa👇

Ukibadilisha mtazamo wako kuhusu pesa, unabadilisha maisha yako yote.

Kuna watu hawana hela, si kwa sababu hawafanyi kazi…

Bali kwa sababu mtazamo wao kuhusu pesa umeharibiwa na malezi, hofu, na fikra potofu.

🧵soma zaidi kuna kitu kutagusa👇