Daniel Patrick (@danielpseverine) 's Twitter Profile
Daniel Patrick

@danielpseverine

Jesus is my lord and saviour, Servant of Jesus Christ, Patriot Tanzanian, Blessed Father, and Luckiest Husband

ID: 1146982692514410496

linkhttps://www.woom.com calendar_today05-07-2019 03:22:38

1,1K Tweet

76 Followers

636 Following

Daniel Patrick (@danielpseverine) 's Twitter Profile Photo

"When God rose to deliver Israel from Egypt, He didn’t appeal to Pharaoh’s reason. He struck where it hurt the most. Every Egyptian, including Pharaoh’s own household, felt the weight of God’s hand." These words shall live.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Pasaka ambapo ndugu zetu Wakristo wanaadhimisha kumbukizi ya kufufuka kwa Yesu Kristo. Siku hii njema ikawe pia ya tafakari kwetu sote juu ya upendo wetu kwa Muumba wetu na wenzetu; juu ya kujitoa kwa bidii na weledi katika utekelezaji wa

Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Pasaka ambapo ndugu zetu Wakristo wanaadhimisha kumbukizi ya kufufuka kwa Yesu Kristo. 

Siku hii njema ikawe pia ya tafakari kwetu sote juu ya upendo wetu kwa Muumba wetu na wenzetu;  juu ya kujitoa kwa bidii na weledi katika utekelezaji wa
The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Popote ulipo onyesha upendo kwa Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu kwa ku-repost hizi salamu zimfikie mpaka pale alipo.✌️

Popote ulipo onyesha upendo kwa Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu kwa ku-repost hizi salamu zimfikie mpaka pale alipo.✌️
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Pongezi za dhati kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF Confederation Cup), na kuandika historia ya kufika fainali ya mashindano haya. Mmeipa nchi yetu heshima kubwa. Nawatakia kila kheri. Mnayo hamasa yangu wakati

Polycarp The Bibliophile (@polycarpmdm) 's Twitter Profile Photo

Hawa ndio Ma CEO wa Mitandao ya Simu TANZANIA. 1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda 2. Airtel - Charles Kamoto - Malawi 3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France 4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam Tuone Kenya 👇

Hawa ndio Ma CEO wa Mitandao ya Simu TANZANIA.

1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda
2. Airtel - Charles Kamoto - Malawi
3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France
4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam 

Tuone Kenya 👇
Daniel Patrick (@danielpseverine) 's Twitter Profile Photo

Mnaosema Gwajima alitakiwa kusema kwenye vikao vya ndani vya chama niwaulize, UTEKAJI ni agenda ya chama? Kama utekaji ni agenda ya chama mtakuwa mko sahihi kusema ijadiliwe ndani ya chama, kinyume na hapo UTEKAJI unapaswa kukemewa hadharani na kukomeshwa mara moja.

Yoweri K Museveni (@kagutamuseveni) 's Twitter Profile Photo

Good enough, we have got good relations with both Israel and Iran, not to forget the United States of America and the other Countries of the World. In our long history of resistance, we abhor chauvinism of identity (race, tribe, religion, etc) or gender (looking down upon women).

Good enough, we have got good relations with both Israel and Iran, not to forget the United States of America and the other Countries of the World.
In our long history of resistance, we abhor chauvinism of identity (race, tribe, religion, etc) or gender (looking down upon women).