That Crown👑 (@crownstanley) 's Twitter Profile
That Crown👑

@crownstanley

Believe In Actions || @LFC || @SimbaSCTanzania || 🇹🇿

ID: 1887652992

linkhttp://bigfishInc.com calendar_today20-09-2013 20:10:58

23,23K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Ms_Frida💎 (@famworld2025) 's Twitter Profile Photo

Ukiangalia Hustle wanapitia kaka zetu kwenye Familia zetu huwezi dharau mtu huku nje🙅🏻wala huezi kumpa presha kijana wa watu😰 hebu angalia huyo kaka ako hapo kwenu ana vitu unavyomtia presha kaka wa watu akupe? Huruma ni sehemu ya Upendo waacheni wajitafute kwa amani jamani🙏

Ms_Frida💎 (@famworld2025) 's Twitter Profile Photo

Menu ya Kesho 7/7/2025 Namba ya kupiga kuweka oda 0629076937 Whatsapp namba 0718893552 Namba ya malipo ya oda 0629076937 jina Frida Allan. Lipia oda, Tuma muamala wa malipo, Enjoy your Meal😋🤌🏻 Karibuni sana🙏

Menu ya Kesho 7/7/2025
Namba ya kupiga kuweka oda 0629076937
Whatsapp namba 0718893552
Namba ya malipo ya oda 0629076937 jina Frida Allan.
Lipia oda, Tuma muamala wa malipo, Enjoy your Meal😋🤌🏻
Karibuni sana🙏
SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

“Ukitaka kuanzisha biashara jitahidi uwe na hela nje ya mtaji inayoweza kukufanya kuishi miezi 6 hadi mwaka hatakama hutopata mteja hata mmoja kipindi hicho chote.” - BARAKA MAVIATU

HUNTER (@hunterjay12345) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zako wanaweza wasiwe wale wa kwenye familia au ukoo wako kama unavyofikiria. Bali ni hao unaopishana nao barabarani. Mheshimu kila mtu unayekutana naye pasipo kujali kama unamfahamu au laa!