Cousin Jr🇹🇿 (@cousinjr1) 's Twitter Profile
Cousin Jr🇹🇿

@cousinjr1

..@yangaSc1935 @ManUtd

ID: 1516755502335733761

calendar_today20-04-2022 12:28:09

1,1K Tweet

894 Followers

1,1K Following

King (@gallamenna) 's Twitter Profile Photo

JIFUNZE UDUKUZI UKWEPE KUDUKULIWA. Uzi 🧵 🧵 Aina za udukuzi 👇 1. UDUKUZI KWA NJIA YA WI-FI . Hii ni aina ya udukuzi ambapo mtu anajaribu kuingia kwenye mtandao wako wa Wi-Fi kisha kuchukua taarifa binafsi bila idhini yako .

JIFUNZE UDUKUZI UKWEPE KUDUKULIWA. 

Uzi 🧵 🧵 

Aina za udukuzi 👇

1. UDUKUZI KWA NJIA YA WI-FI .

Hii ni aina ya udukuzi ambapo mtu anajaribu kuingia kwenye mtandao wako wa Wi-Fi kisha kuchukua taarifa binafsi bila idhini yako .
Miss Chelsea1221 (@misschelsea1221) 's Twitter Profile Photo

#Nisaidie #Retweet Dear🙏🥰 👉Need Promo/#Marketing Influencer? hit My #Dm au 0714336827 Whatsapp +255 765 379 041 🚨NISAIDIE #KUTAGG MAKAMPUNI mbalimbali na #WAFANYABIASHARA #Iwafikie 🚨 #TangazaNaMissChelsea1221

#Nisaidie #Retweet Dear🙏🥰

👉Need Promo/#Marketing Influencer? hit My #Dm au

0714336827 Whatsapp
+255 765 379 041

🚨NISAIDIE #KUTAGG MAKAMPUNI  mbalimbali na #WAFANYABIASHARA #Iwafikie 🚨 

#TangazaNaMissChelsea1221
Paul_Makubi (@makubi_pol) 's Twitter Profile Photo

UTAOZEA JELA UKIJUA NJIA HII YA KUPATA PESA NYINGI (REAL ESTATE) Pesa ya mwaka 2020 inatofautiana Thamani na Pesa ya mwaka 2023 Mfano Mwaka 2020 nilitunza 500 nije kununua soda mwaka 2023 Mwaka 2023 umefika ila soda inauzwa 600. Daah Real estate Madini 🔥 Uzi🧵

UTAOZEA JELA UKIJUA NJIA HII YA KUPATA PESA NYINGI

(REAL  ESTATE)

Pesa ya mwaka 2020  inatofautiana Thamani na Pesa ya mwaka 2023

Mfano
Mwaka 2020 nilitunza 500 nije kununua soda mwaka 2023 
Mwaka 2023 umefika ila soda inauzwa 600. Daah

Real estate  Madini 🔥 

Uzi🧵
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

💨 GOOGLE PIXEL (Band New) ▪️Google Pixel 6a (8+128) - 1m ▪️Google Pixel 7 (8+128) - 1.65m ▪️Google Pixel 7 Pro (8+128) - 2.2m ▪️Google Pixel 7 Pro (12+256) - 2.4m 📍Infinix Tower, Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚 Njiwa Store 📞 0745100757 wa.me/+255745100757

💨 GOOGLE PIXEL (Band New) 

▪️Google Pixel 6a (8+128) - 1m
▪️Google Pixel 7 (8+128) - 1.65m
▪️Google Pixel 7 Pro (8+128) - 2.2m
▪️Google Pixel 7 Pro (12+256) - 2.4m

📍Infinix Tower, Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
<a href="/Njiwa_Store/">Njiwa Store</a>
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

“Najua Safari ya Afrika ya Indaba mwaka huu itatumika kama jukwaa la kujenga uhusiano mpya, kubadilishana maarifa, na kuendesha ukuaji na mafanikio ya sekta ya utalii ya Afrika.” “Inawezekana, tufanye pamoja. , nakushukuru na Mungu awabariki.” -Maneno ya Waziri wa Utalii nchini

“Najua Safari ya Afrika ya Indaba mwaka huu itatumika kama jukwaa la kujenga uhusiano mpya, kubadilishana maarifa, na kuendesha ukuaji na mafanikio ya sekta ya utalii ya Afrika.”

“Inawezekana, tufanye pamoja. , nakushukuru na Mungu awabariki.” -Maneno ya Waziri wa Utalii nchini
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

𝗜𝗦𝗛𝗜 𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗝𝗔, 𝗞𝗜𝗡𝗚𝗔 𝗡𝗜 𝗕𝗢𝗥𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗜𝗞𝗢 𝗧𝗜𝗕𝗔 Hakuna Kinga inayozidi elimu, Sisi kama Klabu yenye historia ni wajibu wetu kutoa elimu kwa wadau ili waikinge na adha ya magoniwa yatokanayo na maji, leo tunatembelea Mburahati, Mabibo, Manzese na

Ki Messi Mweusi 🐐 (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Hivi kila mwana Yanga anaetumia Twitter anaifahamu account rasmi ya klabu? Hii hapa 👉 (Young Africans SC ) Je umeifollow? Tunaweza kusambaza huu ujumbe kwa kadri tuwezavyo kuwafikia Wananchi wengi zaidi kuifahamu acc ya klabu yao pendwa. OUR TEAM OUR TIME 💚💛

Hivi kila mwana Yanga anaetumia Twitter anaifahamu account rasmi ya klabu? Hii hapa 👉 (<a href="/yangasc1935/">Young Africans SC</a> ) Je umeifollow? Tunaweza kusambaza huu ujumbe kwa kadri tuwezavyo kuwafikia Wananchi wengi zaidi kuifahamu acc ya klabu yao pendwa. 

OUR TEAM  OUR TIME 💚💛