Codeboybreezy (@codeboybreezy) 's Twitter Profile
Codeboybreezy

@codeboybreezy

ID: 1053541404495040512

linkhttp://youtu.be/Codeboybreezy95/instergram calendar_today20-10-2018 07:00:19

55 Tweet

54 Takipçi

679 Takip Edilen

Rihanna (@rihanna) 's Twitter Profile Photo

This doesn’t make any sense! My spirit is shaken by this! Dear God may His spirit Rest In Peace and May You grant divine comfort to all his loved ones! 💔🙏🏿 I’m so sorry this happened to you @nipseyhussle

This doesn’t make any sense! My spirit is shaken by this! Dear God may His spirit Rest In Peace and May You grant divine comfort to all his loved ones! 💔🙏🏿
I’m so sorry this happened to you @nipseyhussle
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Naomba niongezee kidogo kwenye ishu ya Pierre Liquid kwamba katika sanaa kuna kitu kinaitwa "Alter Ego. Yaani ni personality na jina la msanii ambayo ni ya sanaa. Mfano Mr Bean ni alter Ego ya Rowan Atkinson. #TutaelewanaTu #ChangeTanzania

Naomba niongezee kidogo kwenye ishu ya Pierre Liquid kwamba katika sanaa kuna kitu kinaitwa "Alter Ego. Yaani ni personality na jina la msanii ambayo ni ya sanaa.
Mfano Mr Bean ni alter Ego ya Rowan Atkinson.
#TutaelewanaTu #ChangeTanzania
Codeboybreezy (@codeboybreezy) 's Twitter Profile Photo

Kwenye maisha jitahidi kufanya yale yanayo kuhusu wewe zaidi kuliko kufanya yale yanayo wafurahisha watu. remember age & time ni vitu vinavyo songa mbele na kamwe havirudi nyuma, challenges zisikufanye ukashindwa kufocus on your dreams #takeaction #makeyourown #behappy

Kwenye maisha jitahidi kufanya yale yanayo kuhusu wewe zaidi kuliko kufanya yale yanayo wafurahisha watu.

remember age & time ni vitu vinavyo songa mbele na kamwe havirudi nyuma, challenges zisikufanye ukashindwa kufocus on your dreams
#takeaction
#makeyourown
#behappy
Codeboybreezy (@codeboybreezy) 's Twitter Profile Photo

Ukweli ni kwamba kila mtu atakuumiza kwenye maisha, kinachotakiwa nikutafuta mtu ambaye unaweza kuvumilia maumivu yake................ #BeHappy #relax

Ukweli ni kwamba kila mtu atakuumiza kwenye maisha, kinachotakiwa nikutafuta mtu ambaye unaweza kuvumilia maumivu yake................

#BeHappy
#relax
Codeboybreezy (@codeboybreezy) 's Twitter Profile Photo

Haimaanishi kuwa bize kupita kiasi ndio ujitenge na jamii, maisha yako yanategemea sana jamii na jamii inategemea uwepo wako. #pleusp #5starG #codeboybreezy #codeboyafrica #mcb #cb

Haimaanishi kuwa bize kupita kiasi ndio ujitenge na jamii, maisha yako yanategemea sana jamii na jamii inategemea uwepo wako.

#pleusp #5starG #codeboybreezy 
#codeboyafrica #mcb #cb
Codeboybreezy (@codeboybreezy) 's Twitter Profile Photo

Usikubali kupoteza marafiki kizembe ingali bado ni kijana mwenye ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa, Biashara yako ni marafiki wanaokuzunguka, TAKE NOTE be +VE #pleusp #5starG #codeboybreezy #codeboyafrica #mcb #cb

Usikubali kupoteza marafiki kizembe ingali bado ni kijana mwenye ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa, Biashara yako ni marafiki wanaokuzunguka, TAKE NOTE be +VE

#pleusp #5starG #codeboybreezy #codeboyafrica #mcb #cb
Codeboybreezy (@codeboybreezy) 's Twitter Profile Photo

usipo tumia vizuri muda wako utatumiwa na watu wengine, nahapo ndipo mwanzo wa matabaka unapoanzia. #codeboybreezy #codeboy_africa #pleusp #cb #mcb #5starG

usipo tumia vizuri muda wako utatumiwa na watu wengine, nahapo ndipo mwanzo wa matabaka unapoanzia.

#codeboybreezy #codeboy_africa #pleusp #cb #mcb #5starG