chunda badi maarifa (@cmaarifa) 's Twitter Profile
chunda badi maarifa

@cmaarifa

Kwa hivyo yeyote anayefanya uzito wa chembe nzuri ataiona. Na yeyote atakayefanya uzito wa chembe ya uovu ataiona.

ID: 2405295670

calendar_today12-03-2014 17:02:01

262 Tweet

176 Takipçi

2,2K Takip Edilen

Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Unapotumia gear za Juu ndivyo matumizi ya mafuta yanakua mazuri sababu gari inakua nyepesi mzigo unapungua kwenye Engine... . Natumaini umejifunza kitu Basi P.S. Usiache Ku RETWEET na Wengine wapate haya MADINI... . Kwa Ushauri zaidi karibu Kigamboni kisiwani Tuongee... . Asante

Unapotumia gear za Juu ndivyo matumizi ya mafuta yanakua mazuri sababu gari inakua nyepesi mzigo unapungua kwenye Engine...
.
Natumaini umejifunza kitu Basi P.S. Usiache Ku RETWEET na Wengine wapate haya MADINI...
.
Kwa Ushauri zaidi karibu Kigamboni kisiwani Tuongee...
.
Asante
chunda badi maarifa (@cmaarifa) 's Twitter Profile Photo

Badili Batili kua Ratiba sahili.. Kweli shida tunapita inabidi kustahamili.. Mkuu pumzi katupa Tafakari na Akili..asili.. Ooiii asante Baba Bado Tunahemaa.. Chem Chem chem SaaNa WaaNaa oii heshima

chunda badi maarifa (@cmaarifa) 's Twitter Profile Photo

Amani na Upendo pasi na upendeleo.. Leta fikra za maendeleo tusiachwe nyuma leo.. Walio rubuni kwa vimeo hao sio tegemeo.. SIASA iwe Dira ya Maendeleo pasi na upendeleo.. Lugha za kulaghai tukemee leo.. Iwe chachu ya maendeleo..

chunda badi maarifa (@cmaarifa) 's Twitter Profile Photo

Tafakari hizi hatua.. kwa imani tunapasua.. Amini kwenye hatua kila unyao kwetu Dua.. Tangu mdogo mpka sasa nimekua.. Ukweli wa mbambo napambanua.. Waliofunikwa kwa Upeo nawafunuaaa..

chunda badi maarifa (@cmaarifa) 's Twitter Profile Photo

Chem chem Inamwagika Kifkra Sasa Munakuaaa.. Isiwe shari iwe heri ya kweli kuijua.. Tuwe ngangari ata Kwa mapinduzi Kupindua.. Tusifate miluzi au Kengele kutustua.. Mkuu ndo Mjuzi Kwake tuombe Dua..

chunda badi maarifa (@cmaarifa) 's Twitter Profile Photo

Njia inatoa god kawasha taa ya kijani.. Kanipa pumzi nijiamini so kunizuia haiwezekani.. Ata ukichonga me ndo bado nasonga. Nakatiza hizi anga na bado unanisoma.. ChemChem

chunda badi maarifa (@cmaarifa) 's Twitter Profile Photo

Njia inatoa god kawasha taa ya kijani.. Kanipa pumzi nijiamini so kunizuia haiwezekani.. Ata ukichonga me ndo bado nasonga. Nakatiza hizi anga na bado unanisoma..

chunda badi maarifa (@cmaarifa) 's Twitter Profile Photo

Chem chem inamwagika mithili ya volcano.. Niko tayri kwa vita Sitoaga pambano ALKEBULANI nabaki AFRIKA kusongesha burudani Sikimbii vita mpka ushindi urudi Nyumbani

chunda badi maarifa (@cmaarifa) 's Twitter Profile Photo

HABARI JEE ULIKUA UNATAFUTA COURSE YA KUSOMA LAKINI ULIKUA HUNA ADA YA KULIPIA NA COURSE ZAIDI YA 4000 ZIPO HAPO ONLINE BURE KABISA NA UTAFANIKIWA KUTIMIZA NDOTO YAKO YA KUSOMA CHUO NA UTAPATA CHETI CHAKO FUATA LINK HII JOIN alison.com/courses/health…

chunda badi maarifa (@cmaarifa) 's Twitter Profile Photo

HABARI JEE ULIKUA UNATAFUTA COURSE YA KUSOMA LAKINI ULIKUA HUNA ADA YA KULIPIA .. COURSE ZAIDI YA 4000 ZIPO HAPO ONLINE BURE KABISA NA UTAFANIKIWA KUTIMIZA NDOTO YAKO YA KUSOMA CHUO NA UTAPATA CHETI CHAKO FUATA LINK HII JOIN CHAGUA COURSE. alison.com/courses/busine…

chunda badi maarifa (@cmaarifa) 's Twitter Profile Photo

HABARI JEE ULIKUA UNATAFUTA COURSE YA KUSOMA LAKINI ULIKUA HUNA ADA YA KULIPIA .. COURSE ZAIDI YA 4000+ ZIPO HAPO ONLINE BURE KABISA NA UTAFANIKIWA KUTIMIZA NDOTO YAKO YA KUSOMA CHUO NA UTAPATA CHETI CHAKO FUATA LINK HII JOIN CHAGUA COURSE. alison.com/courses/health…

chunda badi maarifa (@cmaarifa) 's Twitter Profile Photo

JEE ULIKUA UNATAFUTA COURSE YA KUSOMA LAKINI ULIKUA HUNA ADA YA KULIPIA .. ENGINEERING COURSE HII HAPA ONLINE BURE KABISA NA UTAFANIKIWA KUTIMIZA NDOTO YA FUATA LINK HII JOIN CHAGUA COURSE. alison.com/courses/health… alison.com/courses/engine…

chunda badi maarifa (@cmaarifa) 's Twitter Profile Photo

JEE ULIKUA UNATAFUTA COURSE YA KUSOMA LAKINI ULIKUA HUNA ADA YA KULIPIA .. LANGUAGE COURSE  HII HAPA ONLINE BURE KABISA NA UTAFANIKIWA KUTIMIZA NDOTO YA FUATA LINK HII JOIN CHAGUA COURSE alison.com/courses/langua…

chunda badi maarifa (@cmaarifa) 's Twitter Profile Photo

JEE ULIKUA UNATAFUTA COURSE YA KUSOMA LAKINI ULIKUA HUNA ADA YA KULIPIA .. EDUCATION COURSE  HII HAPA ONLINE BURE KABISA NA UTAFANIKIWA KUTIMIZA NDOTO YA FUATA LINK HII JOIN CHAGUA COURSE alison.com/courses/educat…

chunda badi maarifa (@cmaarifa) 's Twitter Profile Photo

Wale wa Health courses hii hapa link ya course yao fuata Link hapo chini kusoma chuo ni bire kabisa alison.com/courses/health…

chunda badi maarifa (@cmaarifa) 's Twitter Profile Photo

Kama ulikua unapata shida ya kujua Lugha nimekusogezea hapo chini jifunze lugha unayotaka bure kabisa. alison.com/courses/langua…