CLUB Magufuli (@clubmagufuli) 's Twitter Profile
CLUB Magufuli

@clubmagufuli

Supporters of President John Pombe Joseph Magufuli, President of the United Republic of Tanzania (2015-2021).

ID: 771845074736984065

linkhttp://www.magufuli.org calendar_today02-09-2016 22:59:40

66,66K Tweet

47,47K Takipçi

133 Takip Edilen

CLUB Magufuli (@clubmagufuli) 's Twitter Profile Photo

Raisi Magufuli alipokagua huduma za kivuko na kupanda kivuko cha MV Kigamboni tarehe 25 Agosti 2017, alionyesha adhma yake ya kutoa huduma bora kwa umma. Kushiriki kwa #ShujaaWaTaifa moja kwa moja kulidhihirisha dhamira yake ya kuboresha usafiri, kuhakikisha uendeshaji mzuri wa

CLUB Magufuli (@clubmagufuli) 's Twitter Profile Photo

Raisi Magufuli alionyesha juhudi kubwa katika kuhakikisha kila kitu kinafanya kazi ipasavyo. Kwa utendaji na umakini wake wa kipekee, aliweza kuona na kutatua matatizo ambayo yalikuwa yamejificha kwa muda mrefu. Bila shaka kabla ya ukaguzi wake, alifanya utafiti kwa umakini, na

CLUB Magufuli (@clubmagufuli) 's Twitter Profile Photo

#UcheshiWaJPM Raisi Magufuli alianguza watu kicheko alipokuwa anaongea na mama aliyemuandikia barua. Uchangamfu wake ulikuwa hazina kwa Taifa. Asante #ShujaaWaTaifa kwa kutuletea furaha, bila shaka malaika hawana mbavu sasa.

CLUB Magufuli (@clubmagufuli) 's Twitter Profile Photo

Raisi Magufuli alikuwa si tu kiongozi hodari lakini pia mtu mwenye moyo wa shukrani na fadhila tangu enzi zake kama Waziri wa Ujenzi. Hata kabla ya kuwa Raisi wa Tanzania, #ShujaaWaTaifa alionyesha ukarimu, unyenyekevu na heshima kwa viongozi waliokuwa juu yake. Bila shaka moyo

CLUB Magufuli (@clubmagufuli) 's Twitter Profile Photo

Raisi Magufuli alikuwa nguzo ya maendeleo na shujaa wa amani. Katika uongozi wake, #ShujaaWaTaifa alisisitiza sana kudumisha umoja wetu wa Kitaifa na amani nchini; ambavyo ni viungo muhimu katika kujenga Mustakabali imara wa nchi yetu tunayoipenda.

CLUB Magufuli (@clubmagufuli) 's Twitter Profile Photo

“Ireland na Afrika Kusini walaani uovu huko Palestina na wanataka kuona kusitishwa mara moja kwa mapigano na misaada kuingizwa. Nchi zetu mbili zimeungana katika wito wa mageuzi ya haraka ya Umoja wa Mataifa na taasisi mbalimbali kuelekea ulimwengu wenye haki na sawa.

CLUB Magufuli (@clubmagufuli) 's Twitter Profile Photo

Raisi Magufuli aliweka maendeleo ya Watanzania mbele. Uzalendo, uadilifu, na moyo wake wa kujitolea vilikuwa mwongozo katika kuwatumikia Watanzania. #ShujaaWaTaifa

CLUB Magufuli (@clubmagufuli) 's Twitter Profile Photo

Raisi Magufuli daima atakumbukwa kwa kauli mbiu yake ya "Hapa Kazi Tu!" Alipokuwa akiongea na wananchi wa Kinyerezi, #ShujaaWaTaifa alipata wasaa wa kufafanua dhana halisi ya "Hapa Kazi Tu!"

CLUB Magufuli (@clubmagufuli) 's Twitter Profile Photo

Raisi Samia Suluhu tunakupa pongezi kwa kulinda amani, utulivu na umoja nchini toka uingie madarakani. Pia tunatambua kazi kubwa unayofanya ya kuendeleza miradi mikubwa ya kimkakati aliyoianzisha #ShujaaWaTaifa, Raisi Magufuli. Tunakutakia kila la kheri na Mwenyezi Mungu azidi