CLARA πŸ–€ (@claramogul) 's Twitter Profile
CLARA πŸ–€

@claramogul

Young Africans SC πŸ’šπŸ–€πŸ’›// Chelsea πŸ’™#DarYoungAfricans

ID: 734024895428984832

calendar_today21-05-2016 14:15:47

171,171K Tweet

156,156K Followers

4,4K Following

Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

πŸ“Beijing, China. πŸ—“οΈ06 Septemba, 2024. Mhe. Rais Samia Suluhu amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali ya China Academy of Space Corporation (CASC), China Electronics Corporation, Transsion Group, Weihua Group, China Railway Construction

πŸ“Beijing, China.
πŸ—“οΈ06 Septemba, 2024.

Mhe. Rais Samia Suluhu amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali ya China Academy of Space Corporation (CASC), China Electronics Corporation, Transsion Group, Weihua Group, China Railway Construction
Game_ChangerπŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@ntwinagerfrid) 's Twitter Profile Photo

πŸ’ Habari za muda huu familia, kuna hili jambo naomba kuwashirikisha Kuna mtoto wa mwenzetu hapa Dodoma na yupo hapa X ana changamoto ya kiafya. Maelezo kamili ya mtoto shuka nayoπŸ§΅πŸ§ΆβœπŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½

πŸ’ Habari za muda huu familia, kuna hili jambo naomba kuwashirikisha

Kuna mtoto wa mwenzetu hapa Dodoma na yupo hapa X ana changamoto ya kiafya.

Maelezo kamili ya mtoto shuka nayoπŸ§΅πŸ§ΆβœπŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
HappieπŸ’• (@happie_thom) 's Twitter Profile Photo

Leo ndo jumamosi katuni ya Cocomelon ndani ya DStv ifikapo saa 3:20 asubuhi muwekee mtoto wako afurahie. Kama hujalipia, lipia sasa hujachelewa kwa kubofya *150*53# chap. #MfalmeWaBoma

Leo ndo jumamosi katuni ya Cocomelon ndani ya DStv ifikapo saa 3:20 asubuhi muwekee mtoto wako afurahie.

Kama hujalipia, lipia sasa hujachelewa kwa kubofya *150*53# chap.
#MfalmeWaBoma
Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Mariam Jaffari Mkwizu mwanafunzi wa kidato cha pili, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa madarasa mapya yatakayowasaidia kupata elimu bora. #MamaAnafanikisha

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

πŸ“Njombe #SautiZaWananchi | 𝐍𝐀𝐅𝐔𝐔 π™π€πˆπƒπˆ πŠπ–π€ π–π€πŠπ”π‹πˆπŒπ€ #MamaYukoKazini

Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

"Nyumbani tuko vizuri, mfano sasa hivi safari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma inachukua saa 3 hadi 4 pekee kwa kutumia treni yetu mpya tuliyoizindua hivi karibuni. Tumefanya maboresho makubwa ya sera na sheria ili kuwapa fursa ya kuendesha shughuli za kiuchumi kwa urahisi.

"Nyumbani tuko vizuri, mfano sasa hivi safari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma inachukua saa 3 hadi 4 pekee kwa kutumia treni yetu mpya tuliyoizindua hivi karibuni. Tumefanya maboresho makubwa ya sera na sheria ili kuwapa fursa ya kuendesha shughuli za kiuchumi kwa urahisi.
Fred Kavishe (@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Timu la wachambuzi Watakiwasha Leo saa Moja usiku Wana kocha mpya safari mpya inaanza. England vs Ireland Ndani ya Compact DStv (TZ) pekee #MbugiBampa2Bampa #MfalmeWaBoma

Timu la wachambuzi
Watakiwasha Leo saa Moja usiku Wana kocha mpya safari mpya inaanza.

England vs Ireland 

Ndani ya Compact <a href="/DStv_Tz/">DStv (TZ)</a> pekee 
#MbugiBampa2Bampa 
#MfalmeWaBoma
Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

Usafiri na usafirishaji katika mkoa wa Kagera unazidi kuboreshwa siku baada ya siku chini ya uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu. #TanzaniaYaSamia

Usafiri na usafirishaji katika mkoa wa Kagera unazidi kuboreshwa siku baada ya siku chini ya uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu.

#TanzaniaYaSamia
CLARA πŸ–€ (@claramogul) 's Twitter Profile Photo

Muulize mama Roma kama alisali sala ya baba yetu kwa kirusi na mimi nijifunze niwe kama nyinyi πŸ™πŸΏπŸ˜ΉπŸ”₯

CLARA πŸ–€ (@claramogul) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Samia Suluhu amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali ya Nchini China #MamaYukoKazini

Mhe. Rais Samia Suluhu amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali ya Nchini China
#MamaYukoKazini
Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

🚒 Ujenzi wa meli ya uvuvi wa bahari Kuu unaendelea: Itakapokamilika, meli hiyo itakuza shughuli za uvuvi wa bahari kuu na kuchochea ukuaji wa kipato kwa wavuvi na mapato kwa Serikali. #TanzaniaYaSamia

🚒 Ujenzi wa meli ya uvuvi wa bahari Kuu unaendelea:

Itakapokamilika, meli hiyo itakuza shughuli za uvuvi wa bahari kuu na kuchochea ukuaji wa kipato kwa wavuvi na mapato kwa Serikali.

#TanzaniaYaSamia