Citizen TV Kenya
@citizentvkenya
Kenya's Premier TV Station. Breaking News / Entertainment / Your Favorite Local TV Shows. Follow us on https://t.co/tPzCCpxeFt
ID:70394965
https://www.citizen.digital/ 31-08-2009 13:42:16
792,3K Tweets
5,8M Followers
153 Following
Follow People
Utalii Trans Nzoia:
Kitale Club ilibadilishwa kuwa kituo cha utalii
#SemaNaCitizen swaleh mdoe
Ukulima wa pamba Homa Bay:
Kaunti ya Homa Bay yasambaza mbegu za pamba
#SemaNaCitizen swaleh mdoe
Wanafunzi wasusia vyuo vya kiufundi:
Vyuo vya kiufundi vyasajili wanafunzi wachache Nyamira. Wazazi washauriwa kuwahimiza wana wao kjiunga na TVETs
#SemaNaCitizen swaleh mdoe
Mzozo wa mgodi Marsabit:
Serikali ilipiga marufuku uchimbaji dhahabu Hillo, Marsabit. Watu watano walifariki baada ya mgodi kuporomoka Hillo. Wawakilishi Wadi wa Marsabit wataka marufuku iondolewe
#SemaNaCitizen swaleh mdoe
Stara ya hedhi:
Siku ya hedhi duniani imeadhimishwa nchini. Serikali yaraiwa kusambaza sodo shuleni
Wasichana hukosa masomo kwa sababu ya hedhi. Mashirika mbalimbali yafanya uhamasisho wa hedhi
#SemaNaCitizen swaleh mdoe
Wasichana wakosa sodo kambini:
Waathiriwa wa mafuriko wakosa sodo kambini Garissa. Wazazi washindwa kuwanunulia wana wao sodo kambini
#SemaNaCitizen swaleh mdoe
Hitaji la sodo shuleni:
Wasichana wengi hukosa kuhudhuria masomo wakati wa hedhi. Watoto wa kike wahangaika mashinani kaunti ya Kajiado
#SemaNaCitizen swaleh mdoe
Dhuluma za kimapenzi Samburu:
Watoto wanunuliwa sodo kisha wanatungwa mimba Samburu. Baadhi ya wanabodaboda walaumiwa kwa kuwadhulumu watoto
#SemaNaCitizen swaleh mdoe
Mzozo wa matatu Kerugoya:
Wamiliki wa matatu wazozana na wa magari ya Sienta. Wenye magari aina ya Sienta wasema wameruhusiwa kubeba abiria
#SemaNaCitizen swaleh mdoe
Usalama barabarani Taita Taveta:
Misako ya magari mabovu yapunguza ajali barabarani. Polisi washirikiana na NTSA kufanya misako Taita Taveta
#SemaNaCitizen swaleh mdoe
Ubomoaji wa nyumba Kwale:
Nyumba za mfanyabiashara zabomolewa bila ilani. Polisi wachunguza kiini cha ubomoaji wa nyumba za mwekezaji
#SemaNaCitizen swaleh mdoe
Athari za mafuriko:
Shule zaidi ya 71 zaathiriwa na mafuriko Tana River. Shirika la Msalaba Mwekundu lasambaza msaada
#SemaNaCitizen swaleh mdoe
Balaa bungeni Kisii:
Madiwani wapigana Bungeni wakati wa kujadili hoja. Mjadala wa kumng'atua Waziri wa Utawala wazua vita
#SemaNaCitizen swaleh mdoe
Muguka warejea Mombasa:
Askari wa kaunti wakabiliana na wafanyabiashara. Askari wa kaunti ajeruhiwa kwenye kizaazaa Kongowea
#SemaNaCitizen swaleh mdoe
Masaibu ya maafisa wa kliniki:
Maafisa wa kiliniki kutoka Nyanza waandamana Kisii. Mgomo wa wahudumua hao wa afya umeingia siku ya 59
#SemaNaCitizen swaleh mdoe
Ukuzaji wa mataifa ya Afrika:
Benki ya AFDB yaadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa. Mdahalo wa ustawishaji wa mataifa ya Afrika. Mkutano wafanyika katika jumba la KICC jijini Nairobi
Ruto: Kenya kuwekeza dola milioni 100 katika AFDB
#SemaNaCitizen swaleh mdoe