Chris Bennet (@chrisbennet_) 's Twitter Profile
Chris Bennet

@chrisbennet_

Fundi mchundo from VETA

ID: 50088317

calendar_today23-06-2009 20:16:47

18,18K Tweet

1,1K Followers

260 Following

Chris Bennet (@chrisbennet_) 's Twitter Profile Photo

Yule Rama D wa kipindi cha asubuhi pale crown ni sawa na watangazaji wanne. Jamaa ansongesha peke yake na kipindi kina noga

Chris Bennet (@chrisbennet_) 's Twitter Profile Photo

Furaha FM, mjini FM na Crown FM zinajitahidi sana kuja na ubunifu wa vipindi, na style za utangazaji Ila kuna vipindi bado ni copy paste from Clouds FM