Chima J Junior (@chimajjunior7) 's Twitter Profile
Chima J Junior

@chimajjunior7

The Coolest Kid In Africa
@Fc Barcelona FaN
@Simba sports club FaN
In God I Trust

ID: 1393891902974484480

calendar_today16-05-2021 11:31:53

841 Tweet

372 Takipรงi

942 Takip Edilen

James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI ๐Ÿ’จFUTA HIZI APPS KWENYE SIMU ZAKO NI HATARI ๐Ÿšจ Simu zetu zinaweza kuwa na apps hatari zinazochukua data zetu, kuleta virusi, au hata kuathiri utendaji wa kifaa. Kama unataka kulinda faragha, usalama, na kasi ya simu, hakikisha umefuta hizi apps haraka! Shuka๐Ÿงต๐Ÿ‘‡

#UZI

๐Ÿ’จFUTA HIZI APPS KWENYE SIMU ZAKO NI HATARI ๐Ÿšจ

Simu zetu zinaweza kuwa na apps hatari zinazochukua data zetu, kuleta virusi, au hata kuathiri utendaji wa kifaa. Kama unataka kulinda faragha, usalama, na kasi ya simu, hakikisha umefuta hizi apps haraka!

Shuka๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
๐— ๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐˜‡๐—ผ (@majizo_jr) 's Twitter Profile Photo

๐—จ๐—ž๐—œ๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—œ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ก๐—” ๐— ๐—–๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ข ๐—ก๐—”๐—จ๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ญ๐—œ๐—” ๐—ก๐——๐—œ๐—ข ๐—›๐—œ๐—œ ๐—ฆ๐—”๐—ฆ๐—” ๐—ง๐—ฅ๐—จ๐—ฆ๐—ง ๐—ง๐—›๐—˜ ๐—ฃ๐—ฅ๐—ข๐—–๐—˜๐—ฆ๐—ฆ. ๐—ก๐—ด๐—ผ๐—บ๐—ฎ: ๐—ฅ๐—ฒ๐—ฎ๐˜€๐—ผ๐—ป ๐—ช๐—ถ๐˜๐—ต ๐— ๐—ฒ ๐ŸŽต๐ŸŽผ ๐— ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ถ: ๐—ฅ๐—จ๐——๐—˜๐—•๐—ข๐—ฌ ๐Ÿ“๐ŸŽค ๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ: [ 2021 ]๐Ÿช ๐——๐—ถ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฐ๐˜๐—ผ๐—ฟ: ๐—–๐—น๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ๐—ป๐—ฐ๐—ฒ ๐—ฃ๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐˜€ ๐ŸŽฌ

๐—จ๐—ž๐—œ๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—œ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ก๐—” ๐— ๐—–๐—›๐—ข๐—ก๐—š๐—ข ๐—ก๐—”๐—จ๐—ฆ๐—œ๐—ž๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ญ๐—œ๐—” ๐—ก๐——๐—œ๐—ข ๐—›๐—œ๐—œ ๐—ฆ๐—”๐—ฆ๐—” ๐—ง๐—ฅ๐—จ๐—ฆ๐—ง ๐—ง๐—›๐—˜ ๐—ฃ๐—ฅ๐—ข๐—–๐—˜๐—ฆ๐—ฆ.

๐—ก๐—ด๐—ผ๐—บ๐—ฎ: ๐—ฅ๐—ฒ๐—ฎ๐˜€๐—ผ๐—ป ๐—ช๐—ถ๐˜๐—ต ๐— ๐—ฒ ๐ŸŽต๐ŸŽผ

๐— ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ถ: ๐—ฅ๐—จ๐——๐—˜๐—•๐—ข๐—ฌ ๐Ÿ“๐ŸŽค

๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ: [ 2021 ]๐Ÿช

๐——๐—ถ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฐ๐˜๐—ผ๐—ฟ: ๐—–๐—น๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ๐—ป๐—ฐ๐—ฒ ๐—ฃ๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐˜€ ๐ŸŽฌ
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

"Usichanganye Matunda! Ni Hatari kwa Afya Yako!" โ€” Subiri kidogoโ€ฆ Je, huu ni Ukweli au Uongo wa Mitandaoni? Open Thread โคต

"Usichanganye Matunda! Ni Hatari kwa Afya Yako!"

โ€” Subiri kidogoโ€ฆ Je, huu ni Ukweli au Uongo wa Mitandaoni?

Open Thread โคต
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI ๐Ÿ’จUSIITUPE, TURN SIMU YAKO YA ZAMANI KUWA CCTV CAMERA Badala ya kuacha simu yako ya zamani ikivuta vumbi au kuiuza bei chee, tumia kama CCTV ya nyumbani kwa ufuatiliaji wa usalama

#UZI

๐Ÿ’จUSIITUPE, TURN SIMU YAKO YA ZAMANI KUWA CCTV CAMERA 

Badala ya kuacha simu yako ya zamani ikivuta vumbi au kuiuza bei chee, tumia kama CCTV ya nyumbani kwa ufuatiliaji wa usalama
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI ๐Ÿ’จTUMIA SIMU YAKO KAMA MOUSE YA LAPTOP. Simu Yako Inaweza Kufanya Zaidi ya Unavyodhani! Unajua unaweza kuitumia kama mouse ya laptop yako? Bila bluetooth mouse wala vifaa vya gharama. Shuka ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡ Kindly repost ๐Ÿ”„

#UZI

๐Ÿ’จTUMIA SIMU YAKO KAMA MOUSE YA LAPTOP.

Simu Yako Inaweza Kufanya Zaidi ya Unavyodhani!
Unajua unaweza kuitumia kama mouse ya laptop yako? Bila bluetooth mouse wala vifaa vya gharama.

Shuka ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡

Kindly repost ๐Ÿ”„
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI ๐Ÿ’จJINSI YA KUTUMIA SIMU KAMA KIPAZA SAUTI (MIC) YA KOMPYUTA Kupitia WO Mic App au Audio Cable (AUX) Simu yako ya Android au iPhone inaweza kubadilishwa kuwa kipaza sauti (microphone) ya kompyuta. Shuka๐Ÿงต๐Ÿ‘‡ Usisahau kurepost๐Ÿ”„

#UZI

๐Ÿ’จJINSI YA KUTUMIA SIMU KAMA KIPAZA SAUTI (MIC) YA KOMPYUTA

Kupitia WO Mic App au Audio Cable (AUX)
Simu yako ya Android au iPhone inaweza kubadilishwa kuwa kipaza sauti (microphone) ya kompyuta.

Shuka๐Ÿงต๐Ÿ‘‡

Usisahau kurepost๐Ÿ”„
Chima J Junior (@chimajjunior7) 's Twitter Profile Photo

FREE TO PLAY sasa inapatikana SportPesa. Cheza GOAL RUSH BURE leo kwa kubofya HAPA! #MamilioniNaGoalRush sportpesa.co.tz/goal-rush/refeโ€ฆ

James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI ๐Ÿ’จJE UMEKUWA UKISUMBULIWA NA KUTUMA NA KUPOKEA SMS? Hapa nimekuwekea matatizo na njia ya kusuluhisha kwa kila tatizo. Shuka ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡ Usisahau ๐Ÿ”„

#UZI

๐Ÿ’จJE UMEKUWA UKISUMBULIWA NA KUTUMA NA KUPOKEA SMS?

Hapa nimekuwekea matatizo na njia ya kusuluhisha kwa kila tatizo.

Shuka ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡

Usisahau ๐Ÿ”„
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI ๐Ÿ’จZIMA HIZI SETTING 7 MARA TU UNAPONUNUA SIMU MPYA. Settings 7 Unazopaswa Kuzima Mara Tu Baada ya Kununua Simu Mpya Kulinda betri, data zako, na faragha. shuka๐Ÿงต๐Ÿ‘‡ Kindly repost ๐Ÿ”„

#UZI

๐Ÿ’จZIMA HIZI SETTING 7 MARA TU UNAPONUNUA SIMU MPYA.

Settings 7 Unazopaswa Kuzima Mara Tu Baada ya Kununua Simu Mpya

Kulinda betri, data zako, na faragha.

shuka๐Ÿงต๐Ÿ‘‡

Kindly repost ๐Ÿ”„
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI ๐Ÿ’จNJIA ZA KUFANYIA SIMU YAKO DIAGNOSIS SIMU YAKO KUTAMBUA TATIZO KABLA YA KUPELEKA KWA FUNDI. Namna ya Kufanya Diagnosis ya Simu Yako Mwenyewe โ€“ kabla hujapeleka kwa fundi au kuanza kutumia hela bila sababu. Shuka ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡ Usisahau๐Ÿ”„

#UZI

๐Ÿ’จNJIA ZA KUFANYIA SIMU YAKO DIAGNOSIS SIMU YAKO KUTAMBUA TATIZO KABLA YA KUPELEKA  KWA FUNDI.

Namna ya Kufanya Diagnosis ya Simu Yako Mwenyewe โ€“ kabla hujapeleka kwa fundi au kuanza kutumia hela bila sababu.

Shuka ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡

Usisahau๐Ÿ”„
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI ๐Ÿ’จKWANINI SIMU YAKO INACHUKUA MUDA MREFU KUCHAJI?โณ๐Ÿ”‹ Kuna nyakati unachomeka simu yako kwenye charger... masaa mawili bado haijafika hata 50%! ๐Ÿ˜ฉ Hizi hapa sababu 7 kubwa zinazofanya simu yako ichaji kwa muda mrefu kuliko kawaida: Shuka๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿ‘‡

#UZI

๐Ÿ’จKWANINI SIMU YAKO INACHUKUA MUDA MREFU KUCHAJI?โณ๐Ÿ”‹

Kuna nyakati unachomeka simu yako kwenye charger... masaa mawili bado haijafika hata 50%! ๐Ÿ˜ฉ

Hizi hapa sababu 7 kubwa zinazofanya simu yako ichaji kwa muda mrefu kuliko kawaida:

Shuka๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
Sunday Victor (@sundey_fx) 's Twitter Profile Photo

Makosa 7 unayo-yafanya unapoweka Stop Loss. Kuna haya makosa 7 unayafanya ndio maana unatolewa sokoni kila mara then price inaenda upende wako, Umeshawahi kujiuliza ni makosa gani unayafanya? Jibu hili hapa. Uzi

Makosa 7 unayo-yafanya unapoweka Stop Loss.

Kuna haya makosa 7 unayafanya ndio maana unatolewa sokoni kila mara then price inaenda upende wako,

Umeshawahi kujiuliza ni makosa gani unayafanya?

Jibu hili hapa.

Uzi
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI ๐Ÿ’จNJIA SABA (7) ZA KUTAMBUA AIRPODS ORIGINAL NA FAKE. Shuka๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿ‘‡ Usisahau repost ๐Ÿ”„ 1. ๐Ÿ“ฆ Kifurushi (Packaging) AirPods original huja na box lenye maandishi yaliyopangwa kwa usahihi, laini ya sealing haijafunguliwa.

#UZI

๐Ÿ’จNJIA SABA (7) ZA KUTAMBUA AIRPODS ORIGINAL NA FAKE.

Shuka๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿ‘‡

Usisahau repost ๐Ÿ”„

1. ๐Ÿ“ฆ Kifurushi (Packaging)

AirPods original huja na box lenye maandishi yaliyopangwa kwa usahihi, laini ya sealing haijafunguliwa.
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI ๐Ÿ’จREJESHA NAMBA ZA SIMU ULIZOFUTA KIMAKOSA KWENYE SIMU YAKO. โ€œNamba zako zote zimefutika kwenye contact list? Usiogope, unaweza kuzirudisha hiviโ€ฆโ€ ๐Ÿงต Uzi jinsi ya kurudisha namba zako zilizofutwa bahati mbaya: ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿงต

#UZI

๐Ÿ’จREJESHA NAMBA ZA SIMU ULIZOFUTA KIMAKOSA KWENYE SIMU YAKO.

โ€œNamba zako zote zimefutika kwenye contact list? Usiogope, unaweza kuzirudisha hiviโ€ฆโ€

๐Ÿงต Uzi  jinsi ya kurudisha namba zako zilizofutwa bahati mbaya:

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿงต
James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI ๐Ÿ’จJE UMEFUTA WHATSAPP YAKO KWA BAHATI MBAYA? ๐Ÿ“ฑ "WhatsApp imefutwa ghafla? Hivi ndivyo unavyoweza kurudisha chats zako bila stress." Unabeba simu yako asubuhi, unagundua WhatsApp haipo labda umeifuta kwa bahati mbaya, au simu imefomatiwa.

#UZI

๐Ÿ’จJE UMEFUTA WHATSAPP YAKO KWA BAHATI MBAYA?

๐Ÿ“ฑ "WhatsApp imefutwa ghafla? Hivi ndivyo unavyoweza kurudisha chats zako bila stress."

Unabeba simu yako asubuhi, unagundua WhatsApp haipo  labda umeifuta kwa bahati mbaya, au simu imefomatiwa.
Mercides ๏ฃฟ (@caltexjr1) 's Twitter Profile Photo

Naomba Tuanzishe Kampeni humu ndani Profile picture zetu sote tumuweke huyu jamaa kwa wiki moja kama heshima kwa alicho kifanya ๐Ÿ™Œ hatuna cha kumlipa zaidi ya kumuonyesha Heshima kubwa ,nawasilisha hoja Repost 670

Naomba Tuanzishe Kampeni humu ndani 

Profile picture zetu sote tumuweke huyu jamaa kwa wiki moja kama heshima kwa alicho kifanya ๐Ÿ™Œ hatuna cha kumlipa zaidi ya kumuonyesha Heshima kubwa ,nawasilisha hoja 

Repost 670