
CHEGGE OO7
@cheggesosy
ID: 1909207399933550592
07-04-2025 11:32:27
3 Tweet
1 Followers
133 Following












Hii ndo Hotuba ya mwisho ya Mhe. Tundu Antiphas Lissu kwenye ziara ya #NoReformsNoElection ambayo ilifanyika Mkoa wa Ruvuma Hapa alikuwa Bamba bay baada ya Hotuba hii Polisi wa Idd Amin Mama walimkamata na kumbambika kesi ya Uhaini mpaka leo yupo Gereza la Ukonga. #FreeTunduLissu





