Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile
Chadema Tanzania

@chadematz2

The main Opposition Political Party in Tanzania ✌️

ID: 1913175629509312513

linkhttp://www.chadema.or.tz calendar_today18-04-2025 10:20:10

15 Tweet

1,1K Takipçi

84 Takip Edilen

Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

Tumetaarifiwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo tarehe 13 Mei 2025 akiwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Mhe. Amani alikuwa anasafiri leo tarehe 13 Mei 2025, kuelekea nchini Ubeljiji kukiwakilisha chama

Tumetaarifiwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo tarehe 13 Mei 2025 akiwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Mhe. Amani alikuwa anasafiri leo tarehe 13 Mei 2025, kuelekea nchini Ubeljiji kukiwakilisha chama