Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile
Chadema Tanzania

@chadematz2

The main Opposition Political Party in Tanzania ✌️

ID: 1913175629509312513

linkhttp://www.chadema.or.tz calendar_today18-04-2025 10:20:10

15 Tweet

1,1K Takipçi

84 Takip Edilen

Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

"Kma kuna mtu alipaswa kuheshimu Katiba na kufuata Sheria ni Rais wa sasa kwa sababu amepatikana kutokana na kuwepo kwa Katiba." Mhe. Wakili Dickson Matata

Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), Deogratias Mahinyila akihutubia mkutano wa hadhara wa #NoReformsNoElection mjini Singida.

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), Deogratias Mahinyila akihutubia mkutano wa hadhara wa #NoReformsNoElection mjini Singida.
Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 09 Juni 2025 katika Mkutano wa Singida Mjini uliokuwa unahutubiwa na Mhe. John Heche na Mhe. MNYIKA John John kuna vijana wamejitokeza kuvuruga mkutano, wamedhibitiwa na kukamatwa.

Leo tarehe 09 Juni 2025 katika Mkutano wa Singida Mjini uliokuwa unahutubiwa na Mhe. <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> na Mhe. <a href="/jjmnyika/">MNYIKA John John</a> kuna vijana wamejitokeza kuvuruga mkutano, wamedhibitiwa na kukamatwa.