C A P T A I N 🇹🇿 (@capt_willys) 's Twitter Profile
C A P T A I N 🇹🇿

@capt_willys

●Economist ●Freelancer Yas ●FX Pro

ID: 1420465149375307784

calendar_today28-07-2021 19:25:26

11,11K Tweet

1,1K Takipçi

891 Takip Edilen

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuomba Luhaga Mpina arudi haraka kwenye Chama chake cha awali CCM na ameahidi atampokea kwa mikono yote miwili. Akiongea akiwa katika Jimbo la Kisesa Mkoani Simiyu leo September 02,2025, Nchimbi amesema

Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuomba Luhaga Mpina arudi haraka kwenye Chama chake cha awali CCM na ameahidi atampokea kwa mikono yote miwili. 

Akiongea akiwa katika Jimbo la Kisesa Mkoani Simiyu leo September 02,2025, Nchimbi amesema
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Kupitia video inayosambaa Mtandaoni Staa wa Bongo Fleva, #DiamondPlatnumz anaonekana akitoa maoni kwa kusema Watu wafanye kazi na waache kulalamikia kila awamu na kila Uongozi. Kwenye video hiyo anaonekana akiwa pamoja na Wasanii wenzake, Ommy Dimpoz, Jux na Marioo. Soma zaidi

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni TCRA imesema uamuzi huu

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni

TCRA imesema uamuzi huu
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

SALA YA JIONI. Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina. Tunakushukuru ee Mungu kwa mema yote uliyotujalia sikuu hii ya leo. BABA YETU. Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate

SALA YA JIONI.

Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina.

Tunakushukuru ee Mungu kwa mema yote uliyotujalia sikuu hii ya leo.

BABA YETU.
Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.

Utupe leo mkate
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Klabu ya Yanga Eng Hersi Ally Said amesema klabu hiyo haikuwa tayari kumuuza mshambuliaji, Clement Mzize licha ya kupokea ofa nyingi kwa kuwa klabu hiyo sio kituo cha kukuza vipaji na kuuza bali ni timu inayohitaji wachezaji wazuri ili kushinda mataji. Aidha akizungumza

Rais wa Klabu ya Yanga Eng Hersi Ally Said amesema klabu hiyo haikuwa tayari kumuuza mshambuliaji, Clement Mzize licha ya kupokea ofa nyingi kwa kuwa klabu hiyo sio kituo cha kukuza vipaji na kuuza bali ni timu inayohitaji wachezaji wazuri ili kushinda mataji.

Aidha akizungumza
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bumbuli Mkoani Tanga, January Yusuph Makamba anatarajia kuongea na Wananchi wa Bumbuli leo Jumatatu September 08,2025 hii ikiwa ni mara ya kwanza kwake kuongea nao tangu CCM ilipokata jina lake na kumpitisha Eng. Ramadhani Singano kuwa Mgombea Ubunge

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bumbuli Mkoani Tanga, January Yusuph Makamba anatarajia kuongea na Wananchi wa Bumbuli leo Jumatatu September 08,2025 hii ikiwa ni mara ya kwanza kwake kuongea nao tangu CCM ilipokata jina lake na kumpitisha Eng. Ramadhani Singano kuwa Mgombea Ubunge
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Raila Odinga amefariki dunia katika Wilaya ya Kerala Nchini India akiwa na umri wa miaka 80 baada ya kupata mshtuko wa moyo wakati akiwa anafanya mazoezi katika matembezi ya asubuhi. Vyombo vya Habari Nchini Kenya na India vimeripoti kuwa Odinga

Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Raila Odinga amefariki dunia katika Wilaya ya Kerala Nchini India akiwa na umri wa miaka 80 baada ya kupata mshtuko wa moyo wakati akiwa anafanya mazoezi katika matembezi ya asubuhi.

Vyombo vya Habari Nchini Kenya na India vimeripoti kuwa Odinga
Barack Obama (@barackobama) 's Twitter Profile Photo

Raila Odinga was a true champion of democracy. A child of independence, he endured decades of struggle and sacrifice for the broader cause of freedom and self-governance in Kenya. Time and again, I personally saw him put the interests of his country ahead of his own ambitions.

Raila Odinga was a true champion of democracy. A child of independence, he endured decades of struggle and sacrifice for the broader cause of freedom and self-governance in Kenya. Time and again, I personally saw him put the interests of his country ahead of his own ambitions.
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, Amina🙏

Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa.

Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, Amina🙏
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars hatimae kwa mara ya kwanza katika historia inafuzu kucheza hatua ya 16 bora ya AFCON 2025 baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Tunisia. Tanzania anafuzu kama best looser akiwa ameambatana na Timu zingine zilizofuzu kama best looser ni Msumbiji,

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars hatimae kwa mara ya kwanza katika historia inafuzu kucheza hatua ya 16 bora ya AFCON 2025 baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Tunisia.

Tanzania anafuzu kama best looser akiwa ameambatana na Timu zingine zilizofuzu kama best looser ni Msumbiji,