Leonardo (@canossar) 's Twitter Profile
Leonardo

@canossar

corgito ergo sum ® I THINK, THEREFORE I AM

ID: 1029381320

calendar_today22-12-2012 22:25:31

2,2K Tweet

1,1K Takipçi

818 Takip Edilen

Leonardo (@canossar) 's Twitter Profile Photo

Unataka kuanza kupata fedha za kidijitali bure? 💰🚀 Jiunge na mimi kwenye Pi Network na anza kupata Pi Coins leo! Hakuna gharama, hakuna hatari—ni fursa ya mapema kabla ya thamani kupanda! ⏳🔥 Bonyeza hapa kujiunga: minepi.com/blessing712 For more info 0693387376

Leonardo (@canossar) 's Twitter Profile Photo

Kwenye movie za zamani, sharti Sterling apigwe sana na adui kuu kabla ya kumgeuzia kibao mwishoni ... Ila katika wote, Van Damme jamani walikuwa wanamchakaza aisee😂😂😂 #NIPENI_MAUA_YANGU💐 Ujuguhapa ZITATU

Leonardo (@canossar) 's Twitter Profile Photo

Airtel kama mmtuchoka kwakweli semeni mitandao iko mingi.. How comes kuwapigia mpaka kuongea na mtoa huduma mnaficha hiyo option utafikiri tunaomba kazi aisee ? Airtel

Leonardo (@canossar) 's Twitter Profile Photo

Kiuhalisia wa makaratasi, Simba hata wakiungana na Yanga wakawa na timu moja, hawatoboi kwa Rs Bertkaine... Tusubiri miujiza ya kisoka

Alish Prajapati (@cashvolumes) 's Twitter Profile Photo

$XAUUSD 1st trade done. I have started again $100 to $500 this week and working with 5 people. If you want to join, retweet, I’ll pick five members for the next work. #XAUUSD

$XAUUSD

1st trade done.

I have started again $100 to $500 this week and working with 5 people.

If you want to join, retweet, I’ll pick five members for the next work.

#XAUUSD
Leonardo (@canossar) 's Twitter Profile Photo

Why is google nowadays forcing people to buy more storage ? Like why ? I want to delete things and it won't let us do it easily? Elon Musk come to emails too broh

Mamwavi_Nkabasia (@joeselasini) 's Twitter Profile Photo

Atefah Sahaleeh mwenye umri wa miaka 16 alinyongwa na utawala wa IRAN. Kosa lake lilikuwa kubakwa? Hii ndio moja ya sababu za mapambano dhidi ya utawala wa Khamenei na furaha baada ya kifo chake. Bila shaka kitendo hiki na vingine vya aina hii sio UISLAM unaotetewa.

Atefah Sahaleeh mwenye umri wa miaka 16 alinyongwa na utawala wa IRAN. Kosa lake lilikuwa kubakwa? 

Hii ndio moja ya sababu za mapambano dhidi ya utawala wa Khamenei na furaha baada ya kifo chake.
Bila shaka kitendo hiki na vingine vya aina hii sio UISLAM unaotetewa.