@callmebrima
Bio is blank.
ID: 1824531086078074880
calendar_today16-08-2024 19:38:28
373 Tweet
421 Takipçi
149 Takip Edilen
12 days ago
Yaani kwa stage ya boda lazima ulipe 5K-20K ndio ukue member? Nichukue senke ya loan then I'm supposed to look for extra money ya kuingia stage? Reason being,hii stage ni hotcake so registration ni 10K. This country bana!