
Saidi Bushiri
@bushirisai53345
Selous regional youth secretary
ID: 1753119941891403776
01-02-2024 18:16:02
793 Tweet
283 Takipçi
1,1K Takip Edilen





Hongera sana Mhe. Luhaga Mpina kwa kuaminiwa na Chama chetu ACTWazalendo kupeperusha bendera ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni hatua kubwa si tu kwa kanda ya ziwa, bali kwa kila Mtanzania anayetamani mabadiliko ya kweli. Tunajivunia wewe –


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Luhaga Joelson Mpina na Mgombea Mwenza Bi. Fatma Abdulhabib Ferej kwa tiketi ya ACTWazalendo katika Uchaguzi wa mwaka 2025


Ndugu Luhaga Joelson Mpina; Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACTWazalendo. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


Mgombea Mwenza Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Fatma Abdulhabib Ferej kwa tiketi ya ACTWazalendo katika Uchaguzi wa mwaka 2025. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


Mgombea Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwaka 2025 Ndugu Luhaga Joelson Mpina Luhaga Mpina pamoja na Mgombea Mwenza Bi. Fatma Abdulhabib Ferej Fatma Ferej kwa Tiket ya Chama Cha ACT Wazalendo ACTWazalendo Oktober #LindaKura #MhuniHasusiwi


Furaha ya kiongozi pale anapoona chama kikisonga mbele chini ya usimamizi wake na mashirikiano na Wanachama anaowaongoza. Tuna Kiongozi wa Chama. Tuna KC Dorothy Semu. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo



Katika jambo lolote muda ndio kila kitu. Hata kwa Ndugu Luhaga Mpina, muda ndio umeamua awe Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACTWazalendo. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi

Ndugu Othman Masoud Othman; Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACTWazalendo. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi




Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (2025 - 2030) Wazanzibar wataamua ama waendelee kuwa koloni la Tanganyika au wawe na nchi yao wenyewe. Mimi nawashauri wahakikishe wanachagua Othman Masoud Othman chini ya ACTWazalendo ili awapatie; #ZanzibariMpya #ZanzibariMoja #MamlakaKamili


Agosti 09, 2025 Malindi Unguja, kutakuwa na mapokezi ya Mgombea Urais wa Zanzibar, Ndugu Othman Masoud Othman. Atasindikizwa na Mgombea Urais wa Tanzania na mgombea mwenza; Ndugu Luhaga Mpina na Fatma Ferej mtawalia. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi ACTWazalendo


📍Babati Manyara Leo Mgombea wa Urais Tanzania kwa tiketi ya ACTWazalendo, Ndg Luhaga Mpina amefika Mkoa wa Manyara kuomba udhamini wa wapiga kura ili kukidhi matakwa ya kisheria kabla ya kuteuliwa rasmi na INEC kuwa Mgombea Urais wa Tanzania. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
