Bunge la Tanzania (@bunge_tz) 's Twitter Profile
Bunge la Tanzania

@bunge_tz

Bunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake.

ID: 4022434875

linkhttp://www.parliament.go.tz/ calendar_today23-10-2015 07:03:45

3,3K Tweet

597,597K Takipçi

9 Takip Edilen

Bunge la Tanzania (@bunge_tz) 's Twitter Profile Photo

Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Ackson (Mb) amepokea Juzuu za Sheria kutoka kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza Johari (Mb), leo tarehe 26 Juni, 2025. Juzuu hizo ni mkusanyiko wa Sheria zote zilizotungwa katika Bunge la 12.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza leo Alhamisi, tarehe 26 Juni 2025, wakati wa kuhitimisha Shughuli za Mkutano wa 19 wa Bunge la 12. instagram.com/reel/DLXQRQIoC…

Bunge la Tanzania (@bunge_tz) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kulihutubia na kulifunga Bunge la 12 kesho tarehe 27 Juni, 2025

Spika wa Bunge na Rais wa IPU, Mhe. Dkt. Tulia Ackson ameweka Jiwe la Msingi la ujenzi ya Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Bunge.Tukio hilo limefanyika leo tarehe 26 Juni, 2025 eneo la Kikombo ambapo ndipo shule hiyo inajengwa na limehudhuriwa na viongozi mbalimbali.

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyowasili katika Viwanja vya Bunge na kukagua gwaride maalum laheshima kabla ya kuingia katika ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kuhutubia na kufunga Bunge la 12 leo tarehe 27 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyoingia Bungeni kwa ajili ya kuhutubia na kufunga Bunge la 12 leo tarehe 27 Juni, 2025.

Spika na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 22 Julai, 2025 amefungua Kikao cha Jukwaa la Kibunge katika Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Umoja wa Mataifa wa Mwaka 2025 kuhusu Maendeleo Endelevu, katika Ukumbi wa Makao Makuu ya UN New York, Marekani.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Willium Lukuvi akimpa pole Dkt. Fatma Mganga, Mjane wa Marehemu Spika Mstaafu Mheshimiwa Job Ndugai baada ya kufika nyumbani kwake Jijini Dodoma kwa ajili ya kuhani msiba huo.

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Tax Nchi, amefika nyumbani kwa Spika Mstaafu Marehemu Job Ndugai Jijini Dodoma na kumpa pole mjane wa marehemu Dkt. Fatma Mganga leo tarehe 7 Agosti, 2025.

Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akimpa pole Dkt. Fatuma Mganga mjane wa Spika Mstaafu Mheshimiwa Job Ndugai alipofika nyumbani kwake leo jijini Dodoma kwa ajili ya kuhani msiba huo.

Viongozi mbalimbali na Wananchi wamewasili katika Kanisa la Anglikana- Mtakatifu Machael, Dinari ya Kongwa Wilayani Kongwa kushiriki ibada maalum ya kuombea na kuaga Mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Ndugai