B san PharmaDose 🦟 (@bsanpharmadose) 's Twitter Profile
B san PharmaDose 🦟

@bsanpharmadose

Success is a long-term process

ID: 1798975898659827712

calendar_today07-06-2024 07:11:23

1,1K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

π‘πžπŸπ¨π«π¦ (@winstone_nnko) 's Twitter Profile Photo

Wakati mwingine kupata mke mwema kanisani sio rahisi kama tunavyoambiwa. Mtoto wa mchungaji kila Jumapili yuko madhabahuni, leo video imetoka akifanya maovu ! Hakuna penye usalamaβ€”omba tu Mungu akuongoze. Wote ni wadhambi, usihukumu, lakini pia usidanganywe na sura ya kiroho. πŸ™πŸ½

Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Muimbaji wa Sengeli, Deeluck Tz, amesema kuwa ile Sengeli anayoiimba dogo Paten "Umenizaa wewe" Ile ni ya kwake na Ni verse yake katika wimbo aliomshirikisha Pateni. Na wimbo upo kwenye Digital platforms zote kwa jina lake... Pia anasema kuwa inasemekana kuwa Marioo alimcherk

Muimbaji wa Sengeli,

Deeluck Tz, amesema kuwa ile Sengeli anayoiimba dogo Paten "Umenizaa wewe"

Ile ni ya kwake na Ni verse yake katika wimbo aliomshirikisha Pateni.

Na wimbo upo kwenye Digital platforms zote kwa jina lake...

Pia anasema kuwa inasemekana kuwa Marioo alimcherk