Wataalamu wa Sales and Marketing,
Hivii Njia gani Ni Bora kutumika Ili Kupata na kuleta Wateja wapya kwenye Kampuni au Huduma au Bidhaa tunayouza..?
Share your Comments.
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta ametambulishwa rasmi na klabu yake mpya ya Le Havre inayoshiriki ligi kuu nchini Ufaransa Ligue 1 akitokea Paok ya mchini Ugiriki
Nawashukuru Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Kibamba kwa kunipigia kura za ushindi. Nawashukuru wagombea wenzangu kwa kushiriki na kumaliza zoezi la uchaguzi kwa amani. Sote tumeshinda. Chama kimeshinda.
Klabu ya Simba imeshika nafasi ya tano katika viwango vipya vya ubora kwa vilabu barani Afrika vilivyotolewa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwa mwaka 2025.
Yanga SC imeshika nafasi ya 12 na Namungo FC ikishika nafasi ya 75.
UPDATE: CAF CLUBS Ranking🗒.
📊CAF has released a list of CAF Clubs Ranking after the 2024/25 season of #CAFCLCC has finished. Ahead of the 2025/26 CAF Champions League and CAF Confederation Cup preliminary round draw, which takes place tomorrow in Tanzania.🇹🇿 goligani