BossπŸ’Ž (@boss_941) 's Twitter Profile
BossπŸ’Ž

@boss_941

ID: 1776606138244452352

calendar_today06-04-2024 13:41:42

171 Tweet

85 Followers

81 Following

Hunaiya msomally (@hunaiya153989) 's Twitter Profile Photo

We love feedback ❀️ My lovely customer sis cherry Reception table Available kwa oda 350,000 Call/what's app 0710 398 946

I prosper & LeadπŸ‘‘ (@iwilllive_x) 's Twitter Profile Photo

Kuna mshikaji wetu huwa anapenda Sanaa kuangalia Ngumi (VITASA), sasa tupo muda huu tunatazama ndio tunamkumbuka yeye hayupo Tumeishi nae muda mrefu Sanaa ila hakuna anaemfahamu Jina Kila Mtu anamuelezea kwa Muonekano wake na matukio yake uko Nyuma πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

ELIAS🦁 (@eliaskaneke) 's Twitter Profile Photo

Wakuu mnaonaje leo saa 4 tukaanza kuinuana kila mmoja na mention kila mmoja apate folowazi 100+ hivi Weka hendi yako hapa nanadaa list chap

EZEKIAH JEREMIAH (@ezzy_wix) 's Twitter Profile Photo

Kupambana na kitambi ni vita baridi ambayo inahitaji consistency, yaani ukifeli kidogo mtumbo huooπŸ˜πŸ˜πŸ™Œ

Revo Sports (@revocatusmagum1) 's Twitter Profile Photo

Muulize yule mwandishi anaikumbuka hii ilikuwa mechi gani na mwaka gani uwanja upi? Hii ni final ya ASF mkoani Kigoma uwanja Lake Tanganyika pia ni derby, sidhani kama Lake Tanganyika inaweza kufika robo ya Benjamin Mkapa lakini mechi kubwa ilipigwa na ilinoga. Vipi Tulihoji

Muulize yule mwandishi anaikumbuka hii ilikuwa mechi gani na mwaka gani uwanja upi?

Hii ni final ya ASF mkoani Kigoma uwanja Lake Tanganyika pia ni derby, sidhani kama Lake Tanganyika inaweza kufika robo ya Benjamin Mkapa lakini mechi kubwa ilipigwa na ilinoga.

Vipi Tulihoji
AWESOME VIDEO πŸŽ₯🌎 (@awesome_vd) 's Twitter Profile Photo

Miaka ya nyuma kidogo ilikua inawezekana vipi mkate 1 mnakula familia nzima hata ya watu 7,ila saivi mkate 1 nakula peke yangu? πŸ€”πŸ€”πŸ€”

BULL DOG 🐢 (@kishoka_) 's Twitter Profile Photo

Kuna siku nimemeza Viagra ile gram 100 halafu nikapanda gari kumfuata dem alikua anaishi Mafinga kufika Ifunda kumbe kulikua na ajari kukawa Jam, kidogo ndonga ipasuke, Ikabidi nishukie hapo nikampigia Ex wangu wa kitambo anauza mahindi hapo Ifunda barabarani akanisave.

β—‹π—™π—™π—œπ—–π—œπ—”π—Ÿπ—§β—‹π— π— π—£π—”π—‘π—§π—›π—˜π—₯ β˜ͺ (@1tommpanther) 's Twitter Profile Photo

πŸ’πŠ π€πŒπ€π™πˆππ† π‹πŽπ‚πŠ 𝐒𝐂𝐑𝐄𝐄𝐍 | π‡πŽπŒπ„ 𝐒𝐂𝐑𝐄𝐄𝐍 𝐖𝐀𝐋𝐋𝐏𝐀𝐏𝐄𝐑 𝐓𝐇𝐑𝐄𝐀𝐃 𝐋𝐄𝐓'𝐒 π†πŽ

πŸ’πŠ π€πŒπ€π™πˆππ† π‹πŽπ‚πŠ 𝐒𝐂𝐑𝐄𝐄𝐍 | π‡πŽπŒπ„ 𝐒𝐂𝐑𝐄𝐄𝐍 𝐖𝐀𝐋𝐋𝐏𝐀𝐏𝐄𝐑

𝐓𝐇𝐑𝐄𝐀𝐃

𝐋𝐄𝐓'𝐒 π†πŽ
BossπŸ’Ž (@boss_941) 's Twitter Profile Photo

Wapwa huyu mwanetu account yake imepigwa permanent burn πŸ”₯ of which tulikua tuna engage nae fresh kabisaπŸ₯². Now ana account mpya EZBORN ✍🏾 twende tuka show love kwa kumfollow nae ana follow back πŸ«±πŸ»β€πŸ«²πŸ½ Follow kisha Retweet πŸ«‚

Wapwa huyu mwanetu account yake imepigwa permanent burn πŸ”₯ of which tulikua tuna engage nae fresh kabisaπŸ₯².

Now ana account mpya <a href="/EzbornSpeaks/">EZBORN ✍🏾</a> twende tuka show love kwa kumfollow nae ana follow back πŸ«±πŸ»β€πŸ«²πŸ½

Follow kisha Retweet πŸ«‚