Boniface Chengula (@bonichengula) 's Twitter Profile
Boniface Chengula

@bonichengula

Popular in iPhone & Samsung product Reseller on Twitter | ☎️0752-992667 | 📍Mwenge ITV | Backup Account @bohny_chengula

ID: 1155092309945540608

linkhttps://wa.link/9pgib1 calendar_today27-07-2019 12:27:22

12,12K Tweet

24,24K Followers

4,4K Following

DStv (TZ) (@dstv_tz) 's Twitter Profile Photo

MWAMBA AMERUDI #UEFAchampionsleague 🔥⚽🏆☄ Msimu huu, ana muonekano mpya, kutoka timu 32 mpaka 36, mechi 125 mpaka mechi 189 #weehuogopi 😱 Na wakali wa soka #DStv ndiyo tunakuletea mtanange huu. Usikubali kupiga chabo kwa jirani, lipia mapema. #MbungiBampa2Bampa

MWAMBA AMERUDI #UEFAchampionsleague 🔥⚽🏆☄

Msimu huu, ana muonekano mpya, kutoka timu 32 mpaka 36, mechi 125 mpaka mechi 189 #weehuogopi 😱

Na wakali wa soka #DStv ndiyo tunakuletea mtanange huu. 

Usikubali kupiga chabo kwa jirani, lipia mapema.

#MbungiBampa2Bampa
Talanta Mhanga (@mhangatalanta) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA YA DHARURA Mh Boniface Jacob amekamatwa muda huu na polisi wenye difenda muda huu maeneo ya Sinza na haijajulikana amepelekwa wapi

TAARIFA YA DHARURA
Mh Boniface Jacob amekamatwa muda huu na polisi wenye difenda muda huu maeneo ya Sinza na haijajulikana amepelekwa wapi
Rahuuuum (@rahmamwita) 's Twitter Profile Photo

Amejitolea muda wake na rasilimali zake kutetea waliotekwa na kukamatwa naomba tupaze sauti zetu kwa ajili yake sasa. #FREEBONIFACEJACOB

Amejitolea muda wake na rasilimali zake kutetea waliotekwa na kukamatwa naomba tupaze sauti zetu kwa ajili yake sasa.  #FREEBONIFACEJACOB
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Jana, tukiwa na Boniface Jacob, Golden Fork Sinza, tulivamiwa na kundi la watu wakiwa na silaha, walijatambulisha ni Polisi kutoka kituo cha Oysterbay na kumchukua BONI YAI kwa nguvu. Walichukua simu zote zilizokuwa mezani (simu saba). Tumerejeshewa leo. Poleni sana. We move. 💪🏾

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Mkapa alinikamata mara moja. Kikwete alinikamata mara tatu. Magufuli alinikamata mara nane. Hii itakuwa mara ya pili kwa Samia kunikamata. Mara zote hizi sijawahi kutiwa hatiani & mahakama yoyote. Sijawahi kutenda kosa la jinai. Mimi ni mpigania Uhuru & Haki. Huo sio uhalifu!

Agnes Prudence (@agnes_prudence) 's Twitter Profile Photo

Paja paja... Kidari cha ukweli😋 Jipatie Kuku wakubwa wamenona Wana kilo 3 na nusu hadi kilo 4 Bei yake ni 30,000/= tu Tunakuchinjia na kunyonyoa bure kabisa Tunapatikana Kiluvya Delivery ipo ndani ya DSM, unalipia gharama za usafiri Call/WhatsApp; 0623 374 863

Paja paja... Kidari cha ukweli😋
Jipatie Kuku wakubwa wamenona 
Wana kilo 3 na nusu hadi kilo 4
Bei yake ni 30,000/= tu
Tunakuchinjia na kunyonyoa bure kabisa 
Tunapatikana Kiluvya 
Delivery ipo ndani ya DSM,  unalipia gharama za usafiri 
Call/WhatsApp; 0623 374 863