Boniface Chengula(@bonichengula) 's Twitter Profileg
Boniface Chengula

@bonichengula

Popular in iPhone & Samsung product Reseller on Twitter | ☎️0752-992667 | 📍Mwenge ITV | Backup Account @bohny_chengula

ID:1155092309945540608

linkhttps://wa.me/message/LBKWBBCUU7RZP1 calendar_today27-07-2019 12:27:22

10,0K Tweets

21,2K Followers

4,4K Following

Rahuuuum(@RahmaMwita) 's Twitter Profile Photo

Ni jambo la ajabu na aibu kwa serikali ya awamu hii kuwakamata watu kwa sababu wanatetea maslahi ya wananchi. Kama kuna vijana wanauawa na Polisi na hizi taarifa sio za kweli toeni vithibitisho na sio kukamata raia. Tunakosa uhuru kwenye Nchi yetu wenyewe.

Ni jambo la ajabu na aibu kwa serikali ya awamu hii kuwakamata watu kwa sababu wanatetea maslahi ya wananchi. Kama kuna vijana wanauawa na Polisi na hizi taarifa sio za kweli toeni vithibitisho na sio kukamata raia. Tunakosa uhuru kwenye Nchi yetu wenyewe. #FreeBoni #FreeMalisa
account_circle
ILHAM 🖤(@claramogul) 's Twitter Profile Photo

Kwa huduma ya kufua nguo kwa bei poa
NGUO 10-8000/=
NGUO20-15000/=
NGUO30-20000/=
TAULO-2000/=
SHUKA-3000/=
PAZIA-3000/=
HUDUMA YA KUFUA IPO KIPINDI CHOTE HATA KIPINDI CHA MVUA
Huduma ya kupiga pasi nguo inajitegemea.📞 0692-383628 Tupo GobaTripleB DELIVERY IPO God’s Fave child

Kwa huduma ya kufua nguo kwa bei poa NGUO 10-8000/= NGUO20-15000/= NGUO30-20000/= TAULO-2000/= SHUKA-3000/= PAZIA-3000/= HUDUMA YA KUFUA IPO KIPINDI CHOTE HATA KIPINDI CHA MVUA Huduma ya kupiga pasi nguo inajitegemea.📞 0692-383628 Tupo GobaTripleB DELIVERY IPO @itsAnnie__
account_circle
Gadgets Bomba(@Isaacchengula) 's Twitter Profile Photo

HP ZBook 14u G5
MOBILE WORKSTATION

PROCESSOR
Core i5 8th Generation

MEMORY
16 GB DDR4 RAM

STORAGE
256gb SSD

GRAPHICS
Integrated: Intel UHD Graphics 620

DISPLAY
-14-inch diagonal LED-backlit display
- Resolution Full HD (1920 x 1080)
- Touchscreen

Price 900,000Tsh…

HP ZBook 14u G5 MOBILE WORKSTATION PROCESSOR Core i5 8th Generation MEMORY 16 GB DDR4 RAM STORAGE 256gb SSD GRAPHICS Integrated: Intel UHD Graphics 620 DISPLAY -14-inch diagonal LED-backlit display - Resolution Full HD (1920 x 1080) - Touchscreen Price 900,000Tsh…
account_circle
Ms Bee🌹(@iamcleopatricia) 's Twitter Profile Photo

Asali safi haijapikwa wala haijachakachuliwa kwa kuchanganywa na sukari guru

Ni 💯 pure honey kutoka misitu ya tabora

Tunakutumia popote ulipo na delivery ipo

Asali ya nyuki wakubwa na nyuki wadogo ipo

Tunapatikana mwananyamala kona ya mama zakaria

0752-872612

Nakulambisha…

Asali safi haijapikwa wala haijachakachuliwa kwa kuchanganywa na sukari guru Ni 💯 pure honey kutoka misitu ya tabora Tunakutumia popote ulipo na delivery ipo Asali ya nyuki wakubwa na nyuki wadogo ipo Tunapatikana mwananyamala kona ya mama zakaria 0752-872612 Nakulambisha…
account_circle
Judith Mwanri(@mwanriquee) 's Twitter Profile Photo

AIRBNB: LATIFA ANATENGENEZA $1,200 KWA MWEZI BILA NYUMBA

Binti ni mdogo sana,atakuwa wa 95 yule. Nimemfundisha mimi hii biashara na wakati anaanza hakuwa na matumaini.

Nikamwambia utaweza,coz unanguvu ya ushawishi sana.Umeweza kunishawishi nikakufundisha BURE😀hushindwi lolote

AIRBNB: LATIFA ANATENGENEZA $1,200 KWA MWEZI BILA NYUMBA Binti ni mdogo sana,atakuwa wa 95 yule. Nimemfundisha mimi hii biashara na wakati anaanza hakuwa na matumaini. Nikamwambia utaweza,coz unanguvu ya ushawishi sana.Umeweza kunishawishi nikakufundisha BURE😀hushindwi lolote
account_circle
Luckson 💡𝕏(@luckson_63) 's Twitter Profile Photo

NAOMBA REPOST YAKO HAPA 👇

WATUMIAJI WA AIRTEL NA HALOTEL MNAKWAMA WAPI?

KUNA AIRTEL SME, HALOTEL CUG NA HALOTEL M2M KWA BEI KITONGA KABISA.

MCHEKI @FARAJA_ZUNGU01 AU KWA WHATSAPP 0762 354 588 UHUDUMIWE HARAKA ZAIDI.

NAOMBA REPOST YAKO HAPA 👇 WATUMIAJI WA AIRTEL NA HALOTEL MNAKWAMA WAPI? KUNA AIRTEL SME, HALOTEL CUG NA HALOTEL M2M KWA BEI KITONGA KABISA. MCHEKI @FARAJA_ZUNGU01 AU KWA WHATSAPP 0762 354 588 UHUDUMIWE HARAKA ZAIDI.
account_circle