Bonge La Afya (@bongelaafya) 's Twitter Profile
Bonge La Afya

@bongelaafya

Elimu, Maarifa, Mijadala, na Taarifa za afya.

ID: 1136607129773793282

calendar_today06-06-2019 12:13:51

66,66K Tweet

42,42K Takipçi

989 Takip Edilen

Bonge La Afya (@bongelaafya) 's Twitter Profile Photo

UTI inapimwa vipi? Badala ya kukupa jibu la UTI pekee, acha nikufundishe namna mkojo unapimwa maabara. Kwanza kabisa mkojo huwa na vipimo vikuu vitano ambavyo unaweza kutumia kuangalia vitu mbalimbali ndani ya mkojo 1. Unaweza kupima mkojo kwa kipimo cha haraka (rapid urine

UTI inapimwa vipi?

Badala ya kukupa jibu la UTI pekee, acha nikufundishe namna mkojo unapimwa maabara.

Kwanza kabisa mkojo huwa na vipimo vikuu vitano ambavyo unaweza kutumia kuangalia vitu mbalimbali ndani ya mkojo

1. Unaweza kupima mkojo kwa kipimo cha haraka (rapid urine