bona_tv (@bona_tv1) 's Twitter Profile
bona_tv

@bona_tv1

HABARI/ BURUDANI/MICHEZO/ 24/7
Habari zetu zinakufikia kwa haraka zaidi

ID: 1734950181592870912

calendar_today13-12-2023 14:55:49

4,4K Tweet

60 Followers

11 Following

bona_tv (@bona_tv1) 's Twitter Profile Photo

Baraza Kuu la Waislamu nchini Saudi Arabia limetangaza rasmi kuwa mwezi umeandama leo, Machi 29, 2025. Hivyo, Sikukuu ya Eid Al-Fitr nchini humo itaadhimishwa kesho, Jumapili, Machi 30, 2025.

Juhudi za Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kutetea kaulimbiu ya “No Reforms, No Elections” zimezidi kuibua mjadala baada ya kundi la makada 55 wa chama hicho, ambao pia ni watia nia wa ubunge, kujitokeza hadharani kupinga msimamo huo wakisema unaweza kuiweka Chadema katika