ELL (@boeeliah) 's Twitter Profile
ELL

@boeeliah

ID: 1915663968179249155

calendar_today25-04-2025 07:07:58

0 Tweet

0 Followers

79 Following

Revo Sports (@revocatusmagum1) 's Twitter Profile Photo

🚨MAPENDEKEZO YA UJENZI WA VIWANJA VYA SIMBA SC KUTOKA KWA MWEKEZAJI MO DEWJI ➡️Mo Dewji amepanga kuwekeza Kiasi cha Shilingi Bilioni 30 kwenye Ujenzi huo wa Viwanja vya Kiwango cha FIFA ➡️Simba SC itachangia Ardhi peke yake, MO Dewji atafanya ujenzi ➡️Mradi unahusisha

🚨MAPENDEKEZO YA UJENZI WA VIWANJA VYA SIMBA SC KUTOKA KWA MWEKEZAJI MO DEWJI

➡️Mo Dewji amepanga kuwekeza Kiasi cha Shilingi Bilioni 30 kwenye Ujenzi huo wa Viwanja vya Kiwango cha FIFA 

➡️Simba SC itachangia Ardhi peke yake, MO Dewji atafanya ujenzi

➡️Mradi unahusisha
Revo Sports (@revocatusmagum1) 's Twitter Profile Photo

🚨_TUONGEZE FOLLOWERS WETU SIKU YA PASAKA HII ✍️ Reply handle yako hapa ✍️ Like handle zilizowekwa na watu ✍️ Mtu aki like handle yako mfollow ✍️ Mtu akikufollow follow back usimuunfollow usiku wa manane📌 Kwa pamoja tutafika 10K. ✍️Repost ili tupate followers wengi

Revo Sports (@revocatusmagum1) 's Twitter Profile Photo

Kocha mkuu wa Simba SC, Steve Barker amesema kuwa mashabiki wa Simba wanafanana sana na mashabiki wa Kaizer Chiefs. “Nilikuwa natania siku nyingine, nikasema nilikuwa nachukia sana ile hali ya kucheza dhidi ya Chiefs ukiwa nyumbani, halafu wao wanakuwa na mashabiki wengi kuliko

Kocha mkuu wa Simba SC, Steve Barker amesema kuwa mashabiki wa Simba wanafanana sana na mashabiki wa Kaizer Chiefs.

“Nilikuwa natania siku nyingine, nikasema nilikuwa nachukia sana ile hali ya kucheza dhidi ya Chiefs ukiwa nyumbani, halafu wao wanakuwa na mashabiki wengi kuliko
Revo Sports (@revocatusmagum1) 's Twitter Profile Photo

Usikubali wewe kua engagement yao…. Weka handle tukuinueeee🔥🔥🔥🔥🔥 Piga hatua sasa Repost tupate followers wengiiii🔥🔥🔥🔥

Usikubali wewe kua engagement yao….

Weka handle tukuinueeee🔥🔥🔥🔥🔥

Piga hatua sasa

Repost tupate followers wengiiii🔥🔥🔥🔥
Revo Sports (@revocatusmagum1) 's Twitter Profile Photo

Sio kila mwanamke anayekuomba hela hafai kuwa mke, Ila kuna wengine wanapitia matatizo mengi sana na chaguzi sahihi ni kukuomba wewe. Akienda kuomba kwingine inabidi akatoe kile anachokupaga wewe, Kwahiyo chaguzi linabaki Kukuomba Wewe Tu.

Revo Sports (@revocatusmagum1) 's Twitter Profile Photo

🚨Seleman Mwalimu amefunguka kuhusu namna Chama alivyomkabidhi ule mpira apige penalty kwa masharti mazito…… “Kwanza namshukuru Mungu kwa kuaminiwa na kupewa jukumu la kuleta furaha msimbazi baada ya muda mrefu…., Chama alinikabidhi mpira lakini kwa sharti moja tu (Kipa wao

🚨Seleman Mwalimu amefunguka kuhusu namna Chama alivyomkabidhi ule mpira apige penalty kwa masharti mazito……

“Kwanza namshukuru Mungu kwa kuaminiwa na kupewa jukumu la kuleta furaha msimbazi baada ya muda mrefu…., Chama alinikabidhi mpira lakini kwa sharti moja tu (Kipa wao