Keeping Up With Yiçk (@blvcqyick) 's Twitter Profile
Keeping Up With Yiçk

@blvcqyick

ashes blunt on yyo opinion

ID: 1572284840015286272

calendar_today20-09-2022 18:01:56

298 Tweet

79 Followers

253 Following

JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi (@jabirsaleh) 's Twitter Profile Photo

'Ni bora kukaa kimya kuliko kuzungumza yasiyo na maana,na ni bora zaidi kuzungumza yalio na maana kuliko kukaa kimya' _ Prophet Muhammad swallallahu Alayhi wasallaam

Forever (@imustforever) 's Twitter Profile Photo

🔟. "Currency means nothing if you still ain't free" Nukuu hii inatoka kwenye wimbo wake unaoitwa "HOLD YA HEAD" kutoka kwenye album ya "The Don Killuminati The 7 Day Theory" Akiwa na maana Pesa haina maana kama hautakua huru.

🔟. "Currency means nothing if you still ain't free" 

Nukuu hii inatoka kwenye wimbo wake unaoitwa "HOLD YA HEAD" kutoka kwenye album ya "The Don Killuminati The 7 Day Theory"

Akiwa na maana Pesa haina maana kama hautakua huru.
KVANTPAPI pretends he’s not an alcoholic (@reallysuge) 's Twitter Profile Photo

Napenda sana hii wave ya TZ Street brands Faifthful Ave Mervki REAL ARMADA Dar WorthyGeneration Style your Soul Wahuni wote forbes 👏🏽👏🏽👏🏽

NIDA Tanzania (@nida_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) imefanikiwa kuanzisha Usajili kupitia Mtandao (Online Registration) hivyo kuwezesha wananchi kujisajili wao wenyewe kupitia mtandao popote walipo ndani na nje ya nchi hivyo kuipunguzia gharama Serikali na kupunguza foleni katika ofisi zetu.

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) imefanikiwa kuanzisha Usajili kupitia Mtandao (Online Registration) hivyo kuwezesha wananchi kujisajili wao wenyewe kupitia mtandao popote walipo ndani na nje ya nchi hivyo kuipunguzia gharama Serikali na kupunguza foleni katika ofisi zetu.
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

NIRAHISI ENDAPO KAMA UTAZINGATIA💪 "WANAUME TWENDENIPAMOJA" (Code ya leo) 1. Zingatia vyakula vyenye asili ya madini  zinc kwa wingi. 2. Hakikisha unapata nchanganyiko wa Asalii mbichi, Vitunguu swaumu, Tagawizi kwa mbalii asubuhi na jioni. 👇

NIRAHISI ENDAPO KAMA UTAZINGATIA💪
"WANAUME TWENDENIPAMOJA" 

(Code ya leo)
1. Zingatia vyakula vyenye asili ya madini  zinc kwa wingi.
2. Hakikisha unapata nchanganyiko wa Asalii mbichi, Vitunguu swaumu, Tagawizi kwa mbalii asubuhi na jioni.
👇