Neema Paul (@bless_paula26) 's Twitter Profile
Neema Paul

@bless_paula26

Philosopher | Entrepreneur | Digital Content creator

ID: 1692431330112348161

calendar_today18-08-2023 07:01:16

9,9K Tweet

390 Followers

207 Following

Lucky Msuya Kingker (@lkingker) 's Twitter Profile Photo

Ukiona Unapitia Maumivu Mengi Kuliko Furaha,Basi Tambua Kuwa Maisha Yanakujenga Kuwa Mtu Ambaye Hata Upepo Mkali Hauwezi Kumuangusha. #ElimikaWikiendi

Soft Finance (@softfinancetz) 's Twitter Profile Photo

๐‡๐ž๐ซ๐ข ๐ฒ๐š ๐๐š๐ฌ๐š๐ค๐š Softfinance inawatakia Pasaka njema iliyojaa furaha, baraka tele na matumaini mapya. #Easter #SoftFinance

TAWLA (@tawlatz) 's Twitter Profile Photo

Amefufuka! Kristo amefufuka! Tunapoadhimisha ufufuo wa Yesu Kristo, tunakumbushwa kuwa baada ya giza la mateso, kuna mwanga wa ushindi. Pasaka ni msimu wa matumaini mapya na mwanzo mpya. Na sisi TAWLA , katika kuadhimisha Siku Kuu hii, tukisimamia utetezi wa haki na usawa wa

Amefufuka! Kristo amefufuka!

Tunapoadhimisha ufufuo wa Yesu Kristo, tunakumbushwa kuwa baada ya giza la mateso, kuna mwanga wa ushindi. Pasaka ni msimu wa matumaini mapya na mwanzo mpya.

Na sisi <a href="/TawlaTZ/">TAWLA</a> , katika kuadhimisha Siku Kuu hii, tukisimamia utetezi wa haki na usawa wa
IbRaH (@ibrah_sheby) 's Twitter Profile Photo

Maisha ni kama gear za gari ๐Ÿš› Ukikomaa kwenye gear moja sana, injini inachoka. Jifunze kubadilika kulingana na mazingira. #Elimikawikiendi

Maisha ni kama gear za gari ๐Ÿš›
Ukikomaa kwenye gear moja sana, injini inachoka.
Jifunze kubadilika kulingana na mazingira.

#Elimikawikiendi
Captain JIWE ๎จ€ (@yassin_jiwe) 's Twitter Profile Photo

โ–ช๏ธMtu anayempenda hawezi kupambana na wewe, hawezi kushindana na wewe hata kama mmepishana kidogo kimawazo, kwasababu mapenzi ni kuhusu kujaliana, kuhurumiana na kuheshimiana. #ElimikaWikiendi

Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

โ€œUmtumaini BWANA ukatende mema, Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu. Nawe utajifurahisha kwa BWANA, Naye atakupa haja za moyo wako.โ€ Zab 37:3-4

Soft Finance (@softfinancetz) 's Twitter Profile Photo

๐Œ๐ญ๐จ๐ค๐จ ๐ƒ๐š๐ฒ Chill out na watoto wako mkafurahie maisha na kupumzisha akili. Usiwaze sana kuhusu mipango yako, @SoftfinanceTZ tupo kwa ajili yako. Tunatoa mikopo binafsi itakayokuwezesha kukuza na kuboresha miradi yako ya ujasiriamali. #MpangoPesa

๐Œ๐ญ๐จ๐ค๐จ ๐ƒ๐š๐ฒ

Chill out na watoto wako mkafurahie maisha na kupumzisha akili.

Usiwaze sana kuhusu mipango yako, @SoftfinanceTZ tupo kwa ajili yako. 
Tunatoa mikopo binafsi itakayokuwezesha kukuza na kuboresha miradi yako ya ujasiriamali. 
#MpangoPesa
Happie๐Ÿ’• (@happie_thom) 's Twitter Profile Photo

Mpango ni TemboCard Visa ๐Ÿ’ณ Shop wikiendi hii,lipa kwa TemboCard Visa uingie kwenye droo ya kushinda hadi safari ya kushuhudia FIFA World Cup 2026 Final โšฝ๏ธ Tukutane shopping: ๐Ÿ“Darโ€“Mlimani City ๐Ÿ“Arushaโ€“AIM Mall ๐Ÿ“Dodomaโ€“Shoppers Plaza ๐Ÿ“Mwanzaโ€“Rock City Mall #BenkiKimpangoWako

๐‘ฉ๐’‚๐’ƒ๐’‚ ๐‘พ๐’‚ ๐‘ฝ๐’Š๐’‹๐’‚๐’๐’‚ ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ|๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ (@kamigakikumbise) 's Twitter Profile Photo

UJUMBE WA PASAKA 2026 TOKA KWA MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE โ€œYesu akukumbuke leo katika ufalme wakeโ€ Hili ni ombi ambalo, nimemwombea kila mtu anayepata nafasi ya kuusoma ujumbe wangu huu wa Pasaka. Ombi hilo ninalokuombea kwa Mungu ni hili: โ€œYesu akukumbuke leo katika ufalme wakeโ€.

UJUMBE WA PASAKA 2026
TOKA KWA MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
โ€œYesu akukumbuke leo katika ufalme wakeโ€
Hili ni ombi ambalo, nimemwombea kila mtu anayepata nafasi ya kuusoma ujumbe wangu huu wa Pasaka. Ombi hilo ninalokuombea kwa Mungu ni hili: โ€œYesu akukumbuke leo katika ufalme wakeโ€.
Soft Finance (@softfinancetz) 's Twitter Profile Photo

Watoto wako wamerudi shule? ๐ŸŽ’๐Ÿ“š Ada ni kikwazo? Usijali @SoftfinanceTZ tunatoa mkopo wa dharura kukusaidia kukamilisha malipo kwa haraka. Tembelea ofisi zetu leo ukamilishe taratibu ๐Ÿ“ Makumbusho | Tandika | Usagara (Tanga) ๐Ÿ•ข Saa 1:30 Asubuhi โ€“ 11:00 Jioni #MpangoPesa

Watoto wako wamerudi shule? ๐ŸŽ’๐Ÿ“š

Ada ni kikwazo? Usijali @SoftfinanceTZ tunatoa mkopo wa dharura kukusaidia kukamilisha malipo kwa haraka.

Tembelea ofisi zetu leo ukamilishe taratibu 
๐Ÿ“ Makumbusho | Tandika | Usagara (Tanga)
๐Ÿ•ข Saa 1:30 Asubuhi โ€“ 11:00 Jioni
#MpangoPesa