
Phoenix
@benittotz
.
ID: 3555105981
05-09-2015 11:58:30
2,2K Tweet
465 Takipçi
752 Takip Edilen



Kaka Thomas J. Kibwana celestine Kenny Mmari Snr. na Mh Zitto MwamiRuyagwa Kabwe ningetamani kusikia maoni yenu kwenye hili. Ki diplomasia na kiuchumi pia🙏

Thomas J. Kibwana Phoenix celestine Kenny Mmari Snr. Zitto MwamiRuyagwa Kabwe All I know in terms of GDP gap sio kubwa kihivyo. Mimi naamini sector ya nyumba na makazi kwa mfano tunavyoviona kulew vijijini haiko included with accuracy and completeness, kwy kukokotoa GDP; matokeo yake uchumi wetu unaonekana mdogo just because of minor culculaion caused

Thomas J. Kibwana Phoenix celestine Kenny Mmari Snr. Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Au wewe Thomas J. Kibwana uliona lini NBS na au BOT wakihesabu nyumba mpya kwa mwaka kama namna ya ku-determine growth? Uchumi wetu umeficha matrillion kwy sekta ya nyumba na makazi. Lakini data hazipo what do we expect?

Phoenix Erick Mwakyendenge Thomas J. Kibwana Kenny Mmari Snr. Zitto MwamiRuyagwa Kabwe 🤝🏿🤝🏿🤝🏿🤝🏿. GDP ina weakness kubwa sana. Haigusi standard of living . Ndio maana pale juu nilisema "on paper "wametupita ila "ground" hakuna.

Phoenix Erick Mwakyendenge Thomas J. Kibwana Kenny Mmari Snr. Zitto MwamiRuyagwa Kabwe 😅🤝🏿🤝🏿. Umemaliza brother, authoritatively.

Phoenix Joel Ntile Ole Sendoro King’oso Thomas J. Kibwana celestine Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Kuna mtaalamu wangu mmoja aliniambia kuwa kipimo rahisi ni Energy Consumption. Alisema kuwa, kwa kitumia megawati 1200-1500 kwa miaka yote tulikuwa na uchumi kama wa sasa, tukiweza kuvutia matumizi ya megawati 2100 basi tutakuaa na uchumi mkubwa mara tatu ya sasa. Hivyo


Vitu tulikua tunaongea jana kuhusu nyumani ni kama hivi tu Thomas J. Kibwana celestine Kenny Mmari Snr.





Nadhani mzee kupoteza ule uchaguzi ili bruise ego yake sana. Yanayoendelea saiv ni kama anataka kuonyesha who is powerful & influencial kwa hii game. It’s not about legacy tena. Ameamua ku resit paper afute D 😂 What do u think? Thomas J. Kibwana celestine Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒




