Barack Hussein (@balakahussein) 's Twitter Profile
Barack Hussein

@balakahussein

Entrepreneurial thinker and ardent follower of events across the globe.

ID: 988833771343499264

calendar_today24-04-2018 17:35:17

952 Tweet

122 Takipçi

712 Takip Edilen

Dr John Magufuli (@magufulijp) 's Twitter Profile Photo

Nawapongeza Wanawake wote kwa kuadhimisha siku hii muhimu. Mchango wenu kwa familia,jamii na Taifa hauna mfano.Serikali ninayoiongoza itaendelea kuwathamini,kuwaheshimu na kujenga mazingira bora yatakayowawezesha kutekeleza majukumu yenu ipasavyo. #HappyInternationalWomensDay

Jeremy Loffredo (@loffredojeremy) 's Twitter Profile Photo

Prior to the suspicious death of Tanzania's John Magufuli his administration successfully nationalized the one of largest ‘green’ mining projects in the world & kicked Gates/ Monsanto food initiatives out of Tanzania. A report by myself & Whitney Webb unlimitedhangout.com/2021/03/invest…

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Wanasiasa wanaotumia hofu na kujenga taharuki kwa kauli zao za "TUTAKINUKISHA" , " TUTAKUTANA MABARABARANI" " BADO IKIKAZA SAWASAWA" hawawezi in anyway wakachukulia tukio la jana ni baya kwa kuwa haya ndiyo mambo wanataka. You cannot walk in blood on your way to the throne.

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Hivi kile kikosi cha kuandika kwenye kuta na spray kimeshachoka kufanya ile kazi? Nilishani ni kazi endelevu kwa muda mrefu sana kumbe it was a week thing 😂 Niliwaambia haya mambo yanataka commitment ,resilience ,focus na consistency ya hali ya juu sana. Short term goals GANG

Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Mnyika 230m TZS Lema 680m TZS Msigwa 4.6bn TZS Ni wadaiwa sugu sana ukanda huu wa Afrika Mashariki na eneo lote la Maziwa Makuu na kusini mwa Jangwa la Sahara.. Hawa wanawezaje kuja kuwa viongozi kwa rekodi hizi za madeni kila kona? Wanapata wapi ujasiri wa kuikosoa CCM? 👇

Mnyika 230m TZS
Lema 680m TZS
Msigwa 4.6bn TZS

Ni wadaiwa sugu sana ukanda huu wa Afrika Mashariki na eneo lote la Maziwa Makuu na kusini mwa Jangwa la Sahara..

Hawa wanawezaje kuja kuwa viongozi kwa rekodi hizi za madeni kila kona? Wanapata wapi ujasiri wa kuikosoa CCM? 👇
Kigogo Media (@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Jambo ambalo huwa linanifurahisha ni kuwa MAHAKAMA ya TWITTER na MAWAKILI wa TWITTER ni wajuaji sana lakini mwisho wa siku watakuta MTUHUMIWA kanyolewa kipara anapalilia mikorosho kule Serege. Sheria ni taaluma na siyo blah blah ni vile tu hamnaga akili kujiepusha na haya mambo

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

1 Ya Mafanikio Makubwa Niliyonayo Mtandaoni Ni Tabia Ya Kumudu Kutom-Block M2 Anaponitukana Au Kunikosoa!Nimefanikiwa Sana Kwa Miaka Hii Miwili! Ukiona Unatabia Ya Ku-block Wanaokukosoa Ujue Hufai Kuwa Kiongozi,Coz Cku Ukipewa Madaraka Makubwa Zaidi HutawaBlock,Utawafunga Jela!

Barack Hussein (@balakahussein) 's Twitter Profile Photo

Presidential powerful speech is what we miss the most in TZ. Kuna ile Rais akiongea nchi nzima inasimama kumsikiliza, JPM aliyekuwa na hiyo karama. Kwa sasa hata radha za siasa nchini zimepungua sana. Watu wengi hawafuatilii tena kinachoendelea ndani ya IKULU. Pumzika JPM.

AfisaUsalama🕊 (@usalama_w_taifa) 's Twitter Profile Photo

●Hatimae Chama kimerudi rasmi kwa watalaamu wa misheni Town kila mtu atalia kwa lugha yake. ●Mlipata nafasi ya mwana halisi wa Africa, mkamtusi, mkamdhihaki, mkamtenga akafa katika hali ya upweke na majuto ya kutetea wasio na wafadhila.

George Galloway (@georgegalloway) 's Twitter Profile Photo

Dear @TwitterSupport I am not “Russian State Affiliated media”. I work for NO #Russian media. I have 400,000 followers. I’m the leader of a British political party and spent nearly 30 years in the British parliament. If you do not remove this designation I will take legal action.

Scott Ritter (@realscottritter) 's Twitter Profile Photo

Well, it looks like I’ve been reinstated. No official word from Twitter about what the problem was or how/why it was resolved. But I’m sure they took notice at the concern expressed by many of you here on Twitter. Thanks for speaking up in defense of free speech. Goodnight!

Afrika Stories (@afrika_stories) 's Twitter Profile Photo

Africans believe that the late, Former President of Tanzania 🇹🇿, John Pombe Joseph Magufuli was assassinated because he was too good for his people.

Africans believe that the late, Former President of Tanzania 🇹🇿, John Pombe Joseph Magufuli was assassinated because he was too good for his people.
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

"Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya na tuna mengi sana ya kumsema,aliongoza Nchi kama mali yake binafsi,lakini tusimsingizie hakufanya biashara na Raslimali za nchi yetu,aliwavuruga sana waliofanya biashara na Raslimali za Nchi yetu.Kwenye hili la kukabidhi Nchi kwa

"Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya na tuna mengi sana ya kumsema,aliongoza Nchi kama mali yake binafsi,lakini tusimsingizie hakufanya biashara na Raslimali za nchi yetu,aliwavuruga sana waliofanya biashara na Raslimali za Nchi yetu.Kwenye hili la kukabidhi Nchi kwa