Moyo wa TAIFA ™️
@bajabiri
BA,MA UDSM|Founder Bajabir Logistics |Marketing Manager JustFit Sports Gear |StreetSoul Clothing Stores
ID: 861700170
04-10-2012 16:55:59
712,712K Tweet
423,423K Takipçi
41,41K Takip Edilen
Moyo wa TAIFA ™️ Kwenye taaluma za maendeleo kuna ile dhana na social stratification. Matabaka ndani ya jamii. Kwenye Baiolojia kuna survival of the fittest. Kwenye Fizikia kuna nguvu ya kimakanika
Moyo wa TAIFA ™️ Kuelekea uchaguzi huwa kuna matukio fulani hivi hatuyaelewi. Road to 2025. Ndio maana wengine Siasa zetu wanaamua kuachana nazo; wengine hata kupiga kura kunawakatisha tamaa
Kila hatua DUA. 🙏🏾 Leo mwanetu Boniface Jacob amerudisha fomu yake ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani. Huo ni umma wakiwepo wajumbe/wapiga kura waliamua kumsindikiza kurejesha fomu hiyo katika ofisi za CHADEMA Kanda ya Pwani. #TunarejeaKwaKishindo.
Mike Mushi Kuwe na vikao binafsi visiwe vya kuitana kimkupuo na kungojeana milangoni mmoja atoke ili ww uingie🤣🤣.Hiyo ni hatua ya kwanza. Lakini I hate the whole idea of being summoned day in day out. Hii ni stratejia ya kisaikoloji pia
Moyo wa TAIFA ™️ Kuna Kipindi Chemistry Na Biology Lilikua Somo Moja