Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profileg
Moyo wa TAIFA ™️

@bajabiri

💥BA,MA-IDS,UDSM|
💥Street SOUL|JUST FIT STORES' BRAND AMBASSADOR & Marketing Manager|M/kiti Chama Cha Wanafki 😀

ID:861700170

calendar_today04-10-2012 16:55:59

682,4K Tweets

410,2K Followers

41,2K Following

Tanzania Bound Buses(@TBoundBuses) 's Twitter Profile Photo

Hi Irizar ya huwa inatumwa ikiwa tupu kila sehemu timu inapoenda kucheza kwaajili ya kupokea timu uwanja wa ndege kwaajili ya mizunguko, then inatupwa mpaka destination nyingine kufanya hivyo hivyo bila staff ndani😂😂

Maana halisi ya pesa inaongea.

Mwanza📍

Hi Irizar ya #Azam huwa inatumwa ikiwa tupu kila sehemu timu inapoenda kucheza kwaajili ya kupokea timu uwanja wa ndege kwaajili ya mizunguko, then inatupwa mpaka destination nyingine kufanya hivyo hivyo bila staff ndani😂😂 Maana halisi ya pesa inaongea. Mwanza📍
account_circle
Mjege Kinyota, PhD🇹🇿(@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Lubasha Jr Yes, hasa hasa kwenye fursa ambazo hazitoshi; za kunyanganyana. Mfano; wakuu wa Wilaya wote wapo. Ukiona teuzi mpya jua kuna waliokosa. Lakini kupata nafasi ya kusoma shule ya kata hakuna anayekosa kwa kuwa mwingine Kapata 😂

account_circle
Olvaris Lasway (Mr Drip💧)(@olvarislasway) 's Twitter Profile Photo

Alie anza kukataza midahalo ya kimasomo, kiuchumi, kisiasa na kijamii VYUO VIKUU ni muasisi wa ujinga kwenye hili taifa.

Alie anza kukataza midahalo ya kimasomo, kiuchumi, kisiasa na kijamii VYUO VIKUU ni muasisi wa ujinga kwenye hili taifa.
account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Another one from AV Magari.
Ya mteja, imetoka leo bandarini, Nissan civilian bus, engene TD42, year 2000.
Wataalamu wa mambo wanasema ni gari nzuri kwa biashara ya stuff bus na daladala.
Wacheki jamaa zangu, wamenyooka, gari wanakuletea mpaka getini.
instagram.com/av_magari?igsh…
Rt 🙏🏽

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

“Anapojitokeza kiongozi mmoja au taasisi moja katika mfumo wetu wa utawala akaonekana anazungumza lugha ya haki na kushughulika na kero kwa kutumia jitihada binafsi anaonekana tishio la kuharibu amani, watu wengi wanajenga matumaini kwake na siyo kwa mfumo au taasisi. Wanaompinga

“Mfumo wa kidemokrasia tulionao katika mengi una haya yafuatayo: Mfumo wetu unaruhusu mtu kupiga kura na siyo kuchagua, unawawezesha wanaochaguliwa wawe juu ya wale wanaowachagua kuliko kinyume chake, tatu mfumo wetu unaruhusu mtu kutoa mawazo yake lakini si kumhakikishia ulinzi

MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

WATAFITI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI ZA KUFANYA TAFITI ZA AFYA

Na WAF - Dar Es Salaam

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka watafiti wote nchini kuzingatia sheria na kanuni za tafiti za Afya ikiwemo kupata kibali kutoka NIMR pamoja na kuzingatia maslahi ya Taifa.

WATAFITI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI ZA KUFANYA TAFITI ZA AFYA Na WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka watafiti wote nchini kuzingatia sheria na kanuni za tafiti za Afya ikiwemo kupata kibali kutoka NIMR pamoja na kuzingatia maslahi ya Taifa.
account_circle