Tanzania Bound Buses(@TBoundBuses) 's Twitter Profileg
Tanzania Bound Buses

@TBoundBuses

Tunakupa taarifa kuhusu njia zote za basi nchini.
Powered by Bus Community

ID:3624270502

linkhttps://twitter.com/i/communities/1563434978003718144 calendar_today11-09-2015 21:11:16

79,3K Tweets

50,5K Followers

2,1K Following

Makuza Jr(@Iamrajab_) 's Twitter Profile Photo

Toka masasi hadi dar hapa katikati tv inatembea no sign muda wote .. bora watoe waendelee kina mkojani ๐Ÿคฃ

account_circle
Kiddo 336_(@KiduaIgnas) 's Twitter Profile Photo

Isije ikawa promotion kubwa kuliko ufanisi wa kazi na kuishia kusema wanapigwa nyundo
Hii nguvu wanayotumia kupromote kampuni ni sawa!!!!! ila itakua bora zaidi ihamishiwe pia kwenye ufanisi wa kazi za kila siku kwenye usafirishaji....

SHIGAKA LUXURY ๐Ÿ‘€๐Ÿ‘€

Isije ikawa promotion kubwa kuliko ufanisi wa kazi na kuishia kusema wanapigwa nyundo Hii nguvu wanayotumia kupromote kampuni ni sawa!!!!! ila itakua bora zaidi ihamishiwe pia kwenye ufanisi wa kazi za kila siku kwenye usafirishaji.... SHIGAKA LUXURY ๐Ÿ‘€๐Ÿ‘€
account_circle
#Esmo Festo(@esmo_moshi) 's Twitter Profile Photo

Kuna gari ina choo afu katika ya njia inasimama porin kuna waoshuka wale huwa wanaenda kuvuta sigara au...?

account_circle
Jackson.Herman.3(@Usagara_Kwetu) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Bound Buses Nimeona TANZANIA BUSES DAILY ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๎จ€ TBD hapo...moja ya Page pale IG nilikuwa naifatilia sana kbl ya kujoin kwenye Whatsapp Group...kipindi hicho Wasafiri, Tanzania Bound, Westerner Bus...sema siku hz Page zimeongezeka sana

account_circle
DXEDR ๐Ÿฅฅ(@LifeOfJuma) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Bound Buses Kule buti la zungu wanaandikaga namba za seat ya abiria aliyokaa .mfano kama umeakaa seat namba 15 basi wanaandika namba ya seat .

account_circle
Tanzania Bound Buses(@TBoundBuses) 's Twitter Profile Photo

Tip:

Ukiiwa unasafiri hakikisha kila begi unatupia karatasi yenye namba zako za simu na anwani ya makazi unapoishi.

Tip: Ukiiwa unasafiri hakikisha kila begi unatupia karatasi yenye namba zako za simu na anwani ya makazi unapoishi.
account_circle