Bahati Shio (@bahatishiojr) 's Twitter Profile
Bahati Shio

@bahatishiojr

Lawyer 👩‍✈️
Young Africans sports club💚💛+Manchester United fan
#OnlyAllahcan#!🙏

ID: 905164138531442689

calendar_today05-09-2017 20:22:02

3,3K Tweet

624 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Bahati Shio (@bahatishiojr) 's Twitter Profile Photo

Kwani we mkuu taarifa za watu kutekwa na kuuwaaa huna?haiwaumiii, mbona mmekaa kimya ? Anyway kuna msemo "unasema wakimalizana na sisi watawarudia nyie"

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Nimetaarifa na D/ZCO kuwa dhamana ziko wazi kwa wote waliokamatwa leo. Hivyo basi,twendeni muda huu katika vituo vya Polisi tukawadhamini viongozi na waliokamatwa wote . Wadhamani wawe na barua au vitambulisho vinavyotambulika kisheria.

Bahati Shio (@bahatishiojr) 's Twitter Profile Photo

Bro usisikilize ya watu,simama na kile unachokiamini bro ,acha wapige kelele ,ukiamua kuwabless wana wabless atakayepata Sawa, atayekosa atulie wakt mwingne✌

TricyLove🦁 (@amprincess9) 's Twitter Profile Photo

Nazungumza na wewe kijana Unaepitia wakati mgumu saa hii na huna mtu wa kumweleza au kushare nae maumivu Sikiliza dear pole kwa unayopitia na usife moyo wewe ni wa muhimu na lipo kusudi la uwepo wako hadi leo duniani, endelea kupambana unavoweza, huku ukiwa na nidhamu, kutamkia

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo September 10, 2025 Part 1 Kesi imeanza Kasimama Wakili Nassoro Katuga anatambulisha Jopo la Mawakili wa Serikali kama kawaida yao. Wapo mawakili sita wanaiwakilisha Jamhuri. Katuga anasema mshitakiwa yupo. Anaulizwa Mhe. Lissu nae anasema

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

OMG!! 😭😭😭😭 hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii. Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa