Mzee baba (@babalawatu) 's Twitter Profile
Mzee baba

@babalawatu

Simba fan Cool man,Comedian
Plumber,Driver✊️

ID: 1556601642807660544

calendar_today08-08-2022 11:22:31

1,1K Tweet

290 Takipçi

594 Takip Edilen

Mzee baba (@babalawatu) 's Twitter Profile Photo

Pale Japan kuna timu inaitwa Yokohama Marinos na Kawasaki Frontale hizi timu nahisi zinacheza kila baada ya siku maana kwa wiki napata notifications zao za mechi kama mara 5,huwa hawapumziki au?🤔

The champ👑 (@fintanjr_) 's Twitter Profile Photo

Hizi ni kati ya practice au mila na desturi za Kihindi ambazo hutawahi kuziona popote... 1. Binti ambaye kwa imani zao ataonekana ana mikosi, hataozeshwa kwa mwanaume na badala yake ataozeshwa na mbwa ili mikosi hiyo isihame kwa vizazi 2. Mwanamke ndie anayeoa, kwa maana ya

Hizi ni kati ya practice au mila na desturi za Kihindi ambazo hutawahi kuziona popote...
1. Binti ambaye kwa imani zao ataonekana ana mikosi, hataozeshwa kwa mwanaume na badala yake ataozeshwa na mbwa ili mikosi hiyo isihame kwa vizazi
2. Mwanamke ndie anayeoa, kwa maana ya
Eng.Mapunda Jr (@engmapundajr) 's Twitter Profile Photo

Zamani tukiwa bado Wadogo ilikuwa unaiba hela, unaitumia hadi inagoma kuisha, unaamua tu kuitupa ili usije ukabambwa na Chenchi ..😂😂😂

Zamani tukiwa bado Wadogo ilikuwa unaiba hela, unaitumia hadi inagoma kuisha, unaamua tu kuitupa ili usije ukabambwa na Chenchi ..😂😂😂
KingOFstreet (@_kingofstreet) 's Twitter Profile Photo

Bila shaka wengi wetu humu hatujaonja mateso ya Jela kiukweli huko sio pakwenda kama kuna namna yeyote kwepa usiende leo nakuletea Magereza matano ya moto sana yaani bora uwe unayasikia tu.....UZI 👇

Bila shaka wengi wetu humu hatujaonja mateso ya Jela kiukweli huko sio pakwenda kama kuna namna yeyote kwepa usiende leo nakuletea Magereza matano ya moto sana yaani bora uwe unayasikia tu.....UZI 👇
Sekenke One 🌻 (@alexsamoja) 's Twitter Profile Photo

Hata msitafute mchawi nani Comedy kushuka au kukosekana kwa show za hapa na pale, jibu ni uzandiki na usaliti kwa umma plus Octoba 29, ndo vilibadili kila kitu, sio Comedy tu skumbuka hata ni lini Mondi au Nandy kufanya show kubwa nchini tangu #Mo29

Hata msitafute mchawi nani Comedy kushuka au kukosekana kwa show za hapa na pale, jibu ni uzandiki na usaliti kwa umma plus Octoba 29, ndo vilibadili kila kitu, sio Comedy tu skumbuka hata ni lini Mondi au Nandy kufanya show kubwa nchini tangu  #Mo29
GabbY (@iamgabby_1) 's Twitter Profile Photo

Bila mipango madhubuti, safari yako itakosa mwelekeo na juhudi zako zitapotea bure. Kushindwa kupanga ni kupanga kushindwa. Jipange leo ili ufikie malengo yako kwa ufasaha na mafanikio. Jumapili njema 🙏

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Kuna Msela wa Forex anasema kawahi kuwa na 1.8B na akapoteza 😆 Una 1.8B bado unakesha kuuza na kunua hela mitandaoni 😀 Mimi 500m mtanikuta shambani najifurahisha kufuga sungura organically.

Ngatta Boe (@charlesnga34075) 's Twitter Profile Photo

Demu alikua mshamba katoka kwao huko kondoa maomba omba nimemtich kuvaa,mitikasi,ujanja watu wanajua ni mzanzibar alikua hata akisuka nywele akilala zinafumka nywele zake laini nikampeleka kwa wanangu wakamset dread mpaka nywele zikakaza akawa rasta hazifumuki leo kajua..

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume Kama kuna mwanamke umekaa nae katika mahusiano Na Unahisi kuna namna unamuhitaji kwaajili ya kumfanya mke basi tembea na nguzo hizi. 1. Usimfanyie mambo ambayo hautoweza kumfanyia muda wote wa maisha utakapokuwa nae. 2. Kama yupo local, nenda nae hivyo hivyo

Honourable speaker KILESI🕊️ (@bendevelarian98) 's Twitter Profile Photo

ALERT ⚠️ 🚫 WANAUME.! Ni marufuku kulazimisha mazungumzo,kama vibe haipo, heshimu ukimya, Usilazimeshe furaha. Ni marufuku kujishusha ili umpendeze mtu; heshima kwanza, si kuomba attention. Ni marufuku kuandika paragraph ndefu wakati yeye anajibu “sawa” na “mmh.” Soma alama za